Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

Yaani mambo ya mkeo (tena mambo ya mimba) ndo unakuja kuyaanika hapa jf???

Kweli hii nchi imejaa mapoyoyo ya kutosha
 
Mkuu mimba ni uginjwa, and mwanamke akiwa na mimba lolote analoliamua mwache and msaport, sana ukirudi ungemtoa out kutembea naye afanye mazoezi. Ama umchukue mwende dukani, huwezi jua anaweza kufika dukani akapachukia ndo maana haendi

Hapana mkuu kwamba anapachukia dukan sjui lakin anyway
 
Vijana wa kiume mmekuaje siku hizi? Ni hizi shule mna sodoma Au ni ubwege tu wa kuzaliwa?
 
Well said mkuu sjui wanawake waskuiz wamekuaje wanafanya mimba kama ni ukilema frani lakin hayo sio maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah sah itakuaje
 
Unajua Kwanini hakukujibu lakin?
 
Huyu mwingine alikuwa dada yangu alikuwa ataki ata kuona simu yangu nikiishiwa hela nampigia kupitia mama

Duuh lakini nafikiri ni hali frani za miez ya mwishoni mkuu
 
Sijasoma mpaka mwisho

Shida imeanzia hapa.
"wewe upo tu nyumbani umetulia vituvingine ni kuichangamsha akili na kupambana kuliko kushinda tu ndani "

Na ukweli hapo umemkosea mwenzio.

Maelekezo
 
hata wewe nakushauri, usiamue kwa hisia itakukosti, tumia akili

halafu hiyo heri wapatanishi si imeandikwa kwenye biblia, shtuka!

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Daah bravo to your wife mkuu
 
Nikweli mkuu kwani mimba sio ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…