OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Tafuta mtu anaitwa NG'WANASHILUNGU ALIZIKWA NASA HUKO, MWAKA 1936 AKIWA AMESIMAMA WIMA. UCHAWI WAKE UNATESA WATU HADI LEOHabari wakuu,
Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa
Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu hufundishwa bure ila kwa mateso.Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
- OMOYOGWANE
- bariadi degree faida kusomea kwanza mrejesho mwaka mwezi uchawi wenye
- Replies: 63
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Kupitia hii elimu nmejifunza mambo mengi sana tena sanaa.
Kama una swali lolote niulize hapa hapa hadharani
Ahsante
Njoo ujibu hapa wewe OMOYOGWANEUlienda kujifunza ili uje kuwa nani maishani mwako?
Je, faida za uchawi ni zipi?
Je, unaweza kuwahamasisha wanao au ndugu zako kupata hiyo elimu?
Atarongwa mpaka achakae na kadigrii kakeKama kweli umefaulu anza na kuwaroga masisiemu na mapolisi
Lengo ni kujifunza tu mkuu nilikua na kiu ya kutaka kujua mambo yapoje mkuu. Ukiwa na nia hakishindikani kituUlienda kujifunza ili uje kuwa nani maishani mwako?
FAida ni nyingi sana mkuuJe, faida za uchawi ni zipi?
Ndio mkuu tena hii elimu ni muhimu sana kwa haraka haraka utaniona mjinga ila niamini mkuu hii elimu ni muhimu sana popote pale ina tumika.Je, unaweza kuwahamasisha wanao au ndugu zako kupata hiyo elimu?
Tupe faida tano tu, kwa kuanziaFAida ni nyingi sana mkuu
Jamii yetu ya kitanzania ukiondoa watu walio kwenye chain ya serikali na sekta binafsi hawa wengine wanaobaki ambao ndio kundi kubwa wanaishi kwenye dunia nyingine niamini mkuu
Hizo ni story tu mkuu za kwenye bongo movie uchawi haupo hivyo.Kwanini wachawi wanaroga uchi? Au wakitaka kuingia ndani wanatingisha makalio huku wanagonga mlango?
Kabla hujaanza kazi CCM yaani serikali ndio wanakupa kibali unalipa elfu 55 na kuna chain ya umoja wa wataalam kuanzia chini mpaka juu kama ilivyo CCM ukienda kichwa kichwa mtaani wanakuchomesha huna kibali hata lisaa haliishi unakamatwa na polisiKama kweli umefaulu anza na kuwaroga masisiemu na mapolisi
Haupo mbali sana na ukweli mkuuAtarongwa mpaka achakae na kadigrii kake
Utaihukumu vipi juisi ya chungwa kama ni tamu au chachu au chungu iwapo hujawi kula chungwa au kuinywa hiyo juisi?Dhana ya uchawi nadhani ni miongoni mwa zana za jinga zaidi