Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Utaihukumu vipi juisi ya chungwa kama ni tamu au chachu au chungu iwapo hujawi kula chungwa au kuinywa hiyo juisi?
Wewe ulieonja hiyo juice ya chungwa
I mean uchawi unaweza kusema utamu wake(faida zake?)

Uchawi ni kitu kisichothibitika
Hapo ukiambiwa uthibitishe utaanza kusema kwa sababu sina imani ndio maana sielewi kuhusu uchawi
 
Unavyojibu majibu yako yanaonyesha tangu ulipofungua uzi mpaka sana hakuna ulichojifunza, niambie ndani ya vile vibuyu 10 pale juu wanatia nini kwenye kila kibuyu, nini kazi ya usinga, nini kazi ya kioo kikubwa na kile kioo kidogo, nini kazi ya kibuyu kidogo kile kolichovalishwa ushanga, ? Jibu hivyo vichache nikutwange mengine halafu usitoe majibu km mtoto anaenyonya jibu km mtu mzima uliejifunza ukaiva
 
Habari wakuu,

Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa
Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu hufundishwa bure ila kwa mateso.
Kupitia hii elimu nmejifunza mambo mengi sana tena sanaa.

Kama una swali lolote niulize hapa hapa hadharani

Ahsante
Nikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.

Huyu jamaa alikua ana dawa akikupaka unaona wachawi... Yule jamaa ana madawa sana wewe hujajifunza hii mbinu
 
Weww ulieonja hiyo juice ya chungwa
I mean uchawi unaweza kusema utamu wake(faida zake?)
Uchawi ndio ubaoendesha uchumi wa hii nchi kwa mlango wa nyuma, huwezi kunielewa haraka na hautakaa unielewe naandika kulingana na experience
Uchawi ni kitu kisichothibitika
Hapo ukiambiwa uthibitishe utaanza kusema kwa sababu sina imani ndio maana sielewi kuhusu uchawi
Sio kazi yangu kukufanya uamini au usiamini ni suala lako binafsi
 
Nikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.

Huyu jamaa alikua ana dawa akikupaka unaona wachawi... Yule jamaa ana madawa sana wewe hujajifunza hii mbinu
Huo utaalamu wa namna hiyo ni kiini macho, hapo anakupaka dawa za kuchanganyikiwa ndege umuone mbuzi na mtu umuone fisi ila kiuhalisia huo utaalam haupo na haurusiwi sababu ni chonganishi
 
Uchawi ndio ubaoendesha uchumi wa hii nchi kwa mlango wa nyuma, huwezi kunielewa haraka na hautakaa unielewe naandika kulingana na experience
Nyie watu wenye dhana ya uchawi
Mkibanwa kuhusu uchawi mnakimbilia kusema hivi

Naomba ulete uthibitisho ni namna gani uchumi wa nchi hii unaendeshwa na uwepo wa uchawi niko hapa kujifunza mkuu
Sio kazi yangu kukufanya uamini au usiamini ni suala lako binafsi
Tupo kwenye mjadala bado ni mapema kwa wewe kususa
 
Nikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.

Huyu jamaa alikua ana dawa akikupaka unaona wachawi... Yule jamaa ana madawa sana wewe hujajifunza hii mbinu
Hio dawa unapewa na mganga wa kienyeji hata wewe ukitaka unapewa tu, huyu jamaa ni wale watu wanaenda sana kwenye vilinge kuroga na kupiga ramli chonganishi ndio wanakua na hayo madawa madawa ya kujilinda hata wamasai wanayo ingawa wengine yanawakuta maana sometimes unakutana na wachawi noma dawa inadunda wanakubamiza mara mguu mara kiuno mara kichwa kumbe tayari ushapigwa sindano
 
Back
Top Bottom