Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Unavyojibu majibu yako yanaonyesha tangu ulipofungua uzi mpaka sana hakuna ulichojifunza, niambie ndani ya vile vibuyu 10 pale juu wanatia nini kwenye kila kibuyu, nini kazi ya usinga, nini kazi ya kioo kikubwa na kile kioo kidogo, nini kazi ya kibuyu kidogo kile kolichovalishwa ushanga, ? Jibu hivyo vichache nikutwange mengine halafu usitoe majibu km mtoto anaenyonya jibu km mtu mzima uliejifunza ukaiva
Huoni haya maswali OMOYOGWANE acha kutuletea utoto humu huna majibu sema sijui
 
Unavyojibu majibu yako yanaonyesha tangu ulipofungua uzi mpaka sana hakuna ulichojifunza, niambie ndani ya vile vibuyu 10 pale juu wanatia nini kwenye kila kibuyu,
Kwanza kabisa mkuu kibuyu ni chombo kama chombo kingine ambacho hutumika kuhifadhi dawa, ila kuna dawa maalum hukaa kwenye vibuyu zenyewe hazitakiwi kukaa kwenye chombo kingine. Suala la vibuyu kumi inategemea na mwalimu aliyekufundisha anatumia utaalamu wa aina gani,
nini kazi ya usinga,
Nyinyi mnaita usinga huku wanaita Lugela zingatia mazingira ulipo mkuu jina hubadirika na matumizi yanaweza yasiwe sawa. Kuna lugela ya kawaida na nyekundu wewe unasemea upi?
nini kazi ya kioo kikubwa na kile kioo kidogo,
Utaalam wa kioo upo kigoma huku bariadi upo wa aina tofauti
nini kazi ya kibuyu kidogo kile kolichovalishwa ushanga, ?
Kuhifadhia dawa ya wageni. Sijui kama utanielewa haraka
Jibu hivyo vichache nikutwange mengine halafu usitoe majibu km mtoto anaenyonya jibu km mtu mzima uliejifunza ukaiva
Mtu aliejifunza akaiva hawezi kuuliza maswali kama yako maswali yako ni ya kumkejeli mtu hulengi kujifunza
 
Nyie watu wenye dhana ya uchawi
Mkibanwa kuhusu uchawi mnakimbilia kusema hivi

Naomba ulete uthibitisho ni namna gani uchumi wa nchi hii unaendeshwa na uwepo wa uchawi niko hapa kujifunza mkuu
Mkuu nmesema watu mliopo serikalini na sekta binafsi (ajira) mnaishi dunia yenu peke yenu

Kuna kundi la mamilioni ya watu ambao hawapo kwenye hilo kundi hapo juu wamiliki wa biashara kubwa na ndogo ndogo sijui unanipata mkuu?

anzia hapo madukani town sokoni washona viatu machinga mama ntilie boda boda bajaji hivi unajua hili kundi linaishi vipi? Hufanya nini ili kusurvive?

huwezi kuelewa kwa haraka mkuu fikiria vizuri au kaa nao vizuri watakuambia
Tupo kwenye mjadala bado ni mapema kwa wewe kususa
Sijasusa mkuu mimi nimekulia humu JF nimesomea humu mpaka sada nmejitegemea nikiwa humu humu japokuwa ID yangu ni ya hivi karibuni ila jua hivyo mkuu ninacho andika hapa ni real experience
 
Hebu mroge De gunner apotee hapa JF ili tuone kama hiyo Degree yako ya uchawi umeipata kihalali.
Swali lako ni sawa na kumwambia Yesu akutajirishe hapo hapo ulipo ili uone kama kweli yeye ni yesu na ukategemea atakutajirisha.

Yeye mwenyewe yesu huwa jajibu maswali ya kejeli si unakumbuka aliambiwa ajirushe kama kweli yeye ni mwana wa mungu ? Alimjibu nini shetani?
 
Mkuu nmesema watu mliopo serikalini na sekta binafsi (ajira) mnaishi dunia yenu peke yenu
Mimi hata sipo serikalini wala labda waliopo huko waje waseme
Kuna kundi la mamilioni ya watu ambao hawapo kwenye hilo kundi hapo juu wamiliki wa biashara kubwa na ndogo ndogo sijui unanipata mkuu?
Eeeh nakupata na nakubali haya makundi yapo ndio
Kwa sababu naona nipo kwenye jamii kuna wafanya biashara wakubwa na wadogo
anzia hapo madukani town sokoni washona viatu machinga mama ntilie boda boda bajaji hivi unajua hili kundi linaishi vipi? Hufanya nini ili kusurvive?
Unataka kusema wana survive kwa njia za ki chawi kwa namna gani?
Kama ni hivyo sema ni kwa njia zipi usitake ni amoni tu kwa sababu wewe umesema weka mifano hai
huwezi kuelewa kwa haraka mkuu fikiria vizuri au kaa nao vizuri watakuambia
Nataka uniambie wewe mkuu please 🙏
Sijasusa mkuu mimi nimekulia humu JF nimesomea humu mpaka sada nmejitegemea nikiwa humu humu japokuwa ID yangu ni ya hivi karibuni ila jua hivyo mkuu ninacho andika hapa ni real experience
Sawa mkongwe na mimi niko hapa kuchota madini kwako
 
Mimi hata sipo serikalini wala labda waliopo huko waje waseme

Eeeh nakupata na nakubali haya makundi yapo ndio
Kwa sababu naona nipo kwenye jamii kuna wafanya biashara wakubwa na wadogo

Unataka kusema wana survive kwa njia za ki chawi kwa namna gani?
Hii nakupa assignment mkuu fanya utafiti
Kama ni hivyo sema ni kwa njia zipi usitake ni amoni tu kwa sababu wewe umesema weka mifano hai
Fanya research mkuu
Nataka uniambie wewe mkuu please 🙏

Sawa mkongwe na mimi niko hapa kuchota madini kwako
Ujue mkuu hii elimu ina maadili yake mimi ninachowrza kukusaidia ni kukufikirisha kukuongoza uutafute ukwrli wewe mwenyewe ili uje utoe ushuhuda
 
Hii nakupa assignment mkuu fanya utafiti

Fanya research mkuu
Kwahiyo ulivyosema tuulize chochote ulikua na maana gani

Kama unanituma nikafanye utafiti?
Ujue mkuu hii elimu ina maadili yake mimi ninachowrza kukusaidia ni kukufikirisha kukuongoza uutafute ukwrli wewe mwenyewe ili uje utoe ushuhuda
Ukweli nautafuta wapi kama nyie hamtaki kusema
 
Back
Top Bottom