The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Exactly 😂Huyu alikuwa anapigwa na jua sehemu akakumbuka kuna thread ya uchawi aliwahi kuahidi mrejesho,
Hakuna cha maana
Exactly 😂Huyu alikuwa anapigwa na jua sehemu akakumbuka kuna thread ya uchawi aliwahi kuahidi mrejesho,
Hakuna cha maana
😊😁Pumbavu mmoja alijioaka madawa akawa anapita mbele yangu yuko uchi. Nikajifanya sijamuona kumbe naangalia tu jinsi anavyotingisha makebo yake meusi. Wachawi bhana!
Huwa napenda kuwanyoosha wanajifanya wachawi mkuu 😂