Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

Habari wakuu,

Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa
Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu hufundishwa bure ila kwa mateso.
Kupitia hii elimu nmejifunza mambo mengi sana tena sanaa.

Kama una swali lolote niulize hapa hapa hadharani

Ahsante
Hongera mkuu tulikua tunaomba utume kombola la kumalizia kula visiwani
 
Kabla hujaanza kazi CCM yaani serikali ndio wanakupa kibali unalipa elfu 55 na kuna chain ya umoja wa wataalam kuanzia chini mpaka juu kama ilivyo CCM ukienda kichwa kichwa mtaani wanakuchomesha huna kibali hata lisaa haliishi unakamatwa na polisi
Kama mtandao ukiuelewa vizuri unaweza kuwa hacker , naamini hata kwenye uchawi unaweza waroga watekaji without a trace.
 
Habari wakuu,

Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa
Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu hufundishwa bure ila kwa mateso.
Kupitia hii elimu nmejifunza mambo mengi sana tena sanaa.

Kama una swali lolote niulize hapa hapa hadharani

Ahsante
Leta habari! Tuambie jinsi watu wanavyolala na majoka!! Wanavyobeba kidonda ndugu tena mgongoni!!
 
Huo utaalamu wa namna hiyo ni kiini macho, hapo anakupaka dawa za kuchanganyikiwa ndege umuone mbuzi na mtu umuone fisi ila kiuhalisia huo utaalam haupo na haurusiwi sababu ni chonganishi
Umeshasema haupo , kusema tena hauruhusiwi inatia shaka jibu lako, we inaonekana una nia ya kitapeli.
 
Nyie watu wenye dhana ya uchawi
Mkibanwa kuhusu uchawi mnakimbilia kusema hivi

Naomba ulete uthibitisho ni namna gani uchumi wa nchi hii unaendeshwa na uwepo wa uchawi niko hapa kujifunza mkuu

Tupo kwenye mjadala bado ni mapema kwa wewe kususa
Unataka mleta uzi akimbie uzi wake.
 
Eti ni kweli 90% ya wabongo wanatumia uchawi kufanikiwa mambo yao?
Asilimia kumi inayobaki ni hao wanaojiita watumishi na baadhibya wasomi ila hilo kundi la 90% linakutana na uhalisia wa maisha moja kwa moja mtaani.

Just imagine umepanga chumba una mke una watoto na unamadeni na biashara yako haina wateja umefanya kila promo lakini wapi!

Unsjua hawa watu wanaishi vipi?
 
Back
Top Bottom