OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
- Thread starter
-
- #21
Mizimu mkuuTafuta mtu anaitwa NG'WANASHILUNGU ALIZIKWA NASA HUKO, MWAKA 1936 AKIWA AMESIMAMA WIMA. UCHAWI WAKE UNATESA WATU HADI LEO
Nimemcheck Google hajulikani kabisaTafuta mtu anaitwa NG'WANASHILUNGU ALIZIKWA NASA HUKO, MWAKA 1936 AKIWA AMESIMAMA WIMA. UCHAWI WAKE UNATESA WATU HADI LEO
Wewe ulieonja hiyo juice ya chungwaUtaihukumu vipi juisi ya chungwa kama ni tamu au chachu au chungu iwapo hujawi kula chungwa au kuinywa hiyo juisi?
Nikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.Habari wakuu,
Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa
Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu hufundishwa bure ila kwa mateso.Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
- OMOYOGWANE
- bariadi degree faida kusomea kwanza mrejesho mwaka mwezi uchawi wenye
- Replies: 63
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Kupitia hii elimu nmejifunza mambo mengi sana tena sanaa.
Kama una swali lolote niulize hapa hapa hadharani
Ahsante
We angalia tu ila sina hakika kama utaonaMimi naangalia tu! π
Uchawi ndio ubaoendesha uchumi wa hii nchi kwa mlango wa nyuma, huwezi kunielewa haraka na hautakaa unielewe naandika kulingana na experienceWeww ulieonja hiyo juice ya chungwa
I mean uchawi unaweza kusema utamu wake(faida zake?)
Sio kazi yangu kukufanya uamini au usiamini ni suala lako binafsiUchawi ni kitu kisichothibitika
Hapo ukiambiwa uthibitishe utaanza kusema kwa sababu sina imani ndio maana sielewi kuhusu uchawi
Huo utaalamu wa namna hiyo ni kiini macho, hapo anakupaka dawa za kuchanganyikiwa ndege umuone mbuzi na mtu umuone fisi ila kiuhalisia huo utaalam haupo na haurusiwi sababu ni chonganishiNikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.
Huyu jamaa alikua ana dawa akikupaka unaona wachawi... Yule jamaa ana madawa sana wewe hujajifunza hii mbinu
Pumbavu mmoja alijioaka madawa akawa anapita mbele yangu yuko uchi. Nikajifanya sijamuona kumbe naangalia tu jinsi anavyotingisha makebo yake meusi. Wachawi bhana!We angalia tu ila sina hakika kama utaona
Elezea tigrins ni nini mkuuUchawi wa tigris umeusoma?
Nyie watu wenye dhana ya uchawiUchawi ndio ubaoendesha uchumi wa hii nchi kwa mlango wa nyuma, huwezi kunielewa haraka na hautakaa unielewe naandika kulingana na experience
Tupo kwenye mjadala bado ni mapema kwa wewe kususaSio kazi yangu kukufanya uamini au usiamini ni suala lako binafsi
Eti ni kweli 90% ya wabongo wanatumia uchawi kufanikiwa mambo yao?Uchawi ndio ubaoendesha uchumi wa hii nchi kwa mlango wa nyuma, huwezi kunielewa haraka na hautakaa unielewe naandika kulingana na experience
Sio kazi yangu kukufanya uamini au usiamini ni suala lako binafsi
Aisee na imagine hio view π πPumbavu mmoja alijioaka madawa akawa anapita mbele yangu yuko uchi. Nikajifanya sijamuona kumbe naangalia tu jinsi anavyotingisha makebo yake meusi. Wachawi bhana!
Ati, anatembea kabisa kwa komfidensi, nami nikatulia kama sijaona kitu. Ila wapumbavu huwa ni wengi sana Afrika.Aisee na imagine hio view π π
Hio dawa unapewa na mganga wa kienyeji hata wewe ukitaka unapewa tu, huyu jamaa ni wale watu wanaenda sana kwenye vilinge kuroga na kupiga ramli chonganishi ndio wanakua na hayo madawa madawa ya kujilinda hata wamasai wanayo ingawa wengine yanawakuta maana sometimes unakutana na wachawi noma dawa inadunda wanakubamiza mara mguu mara kiuno mara kichwa kumbe tayari ushapigwa sindanoNikiwa mwanza Kuna jamaa alikua security guard.
Huyu jamaa alikua ana dawa akikupaka unaona wachawi... Yule jamaa ana madawa sana wewe hujajifunza hii mbinu