Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Unaweza kuwa na Masters ya kwenye Makaratasi tu ambayo vijana wengi wa Kibongo ndio wanayo ila kiuhalisia umeshindwa kuwashawishi waajiri wako kiutendaji kwamba una Masters. Tatizo kubwa ambalo wengi hatutaki kulielewa ni kwamba hawa wenzetu tukubali au tukatae, they are ahead of us. itakutolea mfano mmoja. Mtoto wa Kibindi anaanza kujifunza Excell tangu akiwa Form Two wewe unaanza kujifunza excell baada ya kumaliza Chuo sasa hapo mnadhani utakuwa sawa nae?
Kingine ni kwenda nao sawa. If you are not smart and sharp huwezi kufanya kazi na wahindi mkaelewana. Nenda Kenya tu hapo huwezi sikia Wahindi wanalalamikiwa kama hapa do you know why?
Na huyo Dogo wa Kihindi unaemsema kasoma vyuo vya mtaani ukimchunvuza anakuwa yupo vizuri kichwani kuliko wewe na BCOm yako ya UDSM au UDOM. sasa kwenye ukweli lazima tukubaliane tuache ubaguzi.
 
Wahindi ni watu Wabaguzi Sana,
Wanatoa Sana rushwa Hasa wakiti shwa Na mamlaka husika, Nilifanya nao Kazi Hotel Fulani Katikati ya Jiji.....
Hizo ni mbinu za Kibiashara hata wewe ukijakuwa mfanyabiashara utafanya hivyohivyo
 
Mnalaumu wahindi wakati na Digrii zetu hata kujieleza tu ni tatizo alafu mnategemea mlipwe Mamilioni🤣🤣🤣
Unakutana na kijana Wa kihindi he is just a high school graduate lakini yuko vizuri sana kichwani...basic computer apps za ofisini zote anazijua vizuri..anajieleza kwa kujiamini kwa kiingereza kizuri, hatetemeki, ana nidhamu ya kazi alafu wewe na Masters yako kila kitu unababaisha. Mwenzio akilipwa mamilioni unasema sababu ni wahindi🤣🤣🤣
Jamani tubadilike tujue kujiongeza. Degree na Masters bila kujiongeza utalipwa vilakilaki hadi unazeeka.
 
Wengi wao wana elimu kutushinda kwa sababu aliyeleta mfumo wa elimu aliwatreat kama second class race.Hii ikawajenga kujiamini na kwa ujinga wetu tunawapa ushirikiano wa kutuibia huku aliyewapa hicho kiburi anawatumia vizuri kwa manufaa yake.
 
Na Mo ni mnafiki na muongo sana..ndio maana akafika hapo alipo...

Sema tu labda kagusa maslahi au kaupiga mwingi sehemu...

Matajiri wengi .. wana figisu za maana kuliko huyo msema ovyo jinga flani manara!
Mo katimiza ahadi yake ya kutoa mabilioni klabuni, Manara katoa bilioni ngapi, hata ungekuwa wewe usingemuajiri Manara ndani ya klabu yako
 
Kuna baadhi ya wahindi kujamba hadharani wao sio noma. Anaweza jqmba hata mko boardroom mnafanya kikao. Baadhi wachawi sana. Nilifanya mtihani wa cpa Bunju na mmoja wao aliwekq hirizi zake mezani. Wasimamizi walipomnyang'anya aliacha kufanya pepa mpaka mwisho. Over.
 
Duh hii kali
 
Hakikisha miaka miwili haiishi kabla hujaondoka hapo mkuu. Usijenge ukaribu wala mazoea yoyote na hao watu. Kinyume na hapo utageuzwa msukule utasahau ndoto zako zote na hutakuja kuondoka tena hapo kamwe!
Ni kweli mkuu ukikakaa vibaya aupo duniani ni wachawi balah
 
Mwaka 2020 nilijitolea kwenye kampuni moja ya kuuza computers maeneo ya Kariakoo hawa jamaa ni balaa Yaani wanaona kama ngozi nyeusi ni punda vile. Ila Mungu Mkubwa ingawa tulikuwa tunachukua mshahara wa 180k ila deals tunazofanya ni almost 450k kwa mwezi tu... niliondoka lakini nimeacha hasara kishezi
 
Duh hii kali
Hiyo ishu nahisi kama ina ukweli hivi.
Nakumbuka nilivyomaliza chuo nilifanya kazi kwa wahindi mwaka mmoja nikasepa sasa kuna washikaji niliowaacha pale wana miaka 10 bado wamezubaa tu kuondoka wanashindwa.
Tangu nimewaacha pale maisha yao ni yaleyale ya kupata kwenye chumba kimoja cha elfu 30,watu tunanunua viwanja tunajenga wao wako vile vile
 
Hta kwenye kitabu cha mengi amezungumzia sana hili suala!....na mpaka leo kuna sheria japo haipo kwenye maandishi ya kumzuia mswahili yoyote asimiliki benki.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu ukikakaa vibaya aupo duniani ni wachawi balah
Mimi kuna dingi wangu mkubwa kafanya kazi kwa mhindi tangu kabla sijazaliwa mpaka leo! Kila siku anasema mwaka huu lazma niache kazi siwezi kunyanyaswa namna hii lakini yupo tu hadi karibu anastaafu na cha maana alichofanya hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…