Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
WANAJUA BIASHARA SANA , NA SIRI ZA BIASHARA WANALITHISHANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa na Masters ya kwenye Makaratasi tu ambayo vijana wengi wa Kibongo ndio wanayo ila kiuhalisia umeshindwa kuwashawishi waajiri wako kiutendaji kwamba una Masters. Tatizo kubwa ambalo wengi hatutaki kulielewa ni kwamba hawa wenzetu tukubali au tukatae, they are ahead of us. itakutolea mfano mmoja. Mtoto wa Kibindi anaanza kujifunza Excell tangu akiwa Form Two wewe unaanza kujifunza excell baada ya kumaliza Chuo sasa hapo mnadhani utakuwa sawa nae?basi utakuwa uko peke yako dunia nzima wewe ndiyo unalipwa na wahindi mshahara mkubwa.mimi nina bachelor na ninafanya masters now nalipwa laki 6..dogo wa kihindi ana diploma tu hivi vyuo shenzi ya mitaani analipwa $2000.sisi waswahili wote tuliojiriwa na wahindi huwa tunamsemo wetu'wahindi wote ni mbwa tu"kama wanakulipa vzr kuna mawili ama wanakupapasa makalioni ama wanakufanyia michezo ya marehemu kaoge..period.maana ndiyo zao
Hizo ni mbinu za Kibiashara hata wewe ukijakuwa mfanyabiashara utafanya hivyohivyoWahindi ni watu Wabaguzi Sana,
Wanatoa Sana rushwa Hasa wakiti shwa Na mamlaka husika, Nilifanya nao Kazi Hotel Fulani Katikati ya Jiji.....
Wanamapaka watu makubwa hayoHii kitu ina ukweli ama rumous..mana ikifika mchana huwa wanafunga maduka yao.
#MaendeleoHayanaChama
Wengi wao wana elimu kutushinda kwa sababu aliyeleta mfumo wa elimu aliwatreat kama second class race.Hii ikawajenga kujiamini na kwa ujinga wetu tunawapa ushirikiano wa kutuibia huku aliyewapa hicho kiburi anawatumia vizuri kwa manufaa yake.Kuwa na akili maana yake ni kufanya jambo lako kwa ufanisi na kwa haraka,wahindi wengi ni kweli wana ufanisi na ni watu wa mipango,ndio maana makampuni mengi makubwa duniani yanaajili ma CEO wahindi au wahasibu na mawakili wa kihindi.Tukubali waafrica wengi ni wavivu hususani sisi waswahili.
Waswahili ni wavivu hatupendi kufanya kazi bila kuongozwa,tuna maneno mengi na muda wote tunawaza ngono, uchawi,majungu na vitu ambavyo havina impact,ikitokea mtu yeyote akawa tofauti na sisi sehemu za kazi hatapigwa vita sana na kuonekana ni mbaya sana.
Ukitaka kuamini angalia hata bungeni ikitokea spika au mbunge ameongea mzaha kitu kinachoashilia ngono utaona wabunge wanavyoshangilia kwa kugonga meza na kuruka ruka, kwa furaha sana, hata kwenye semina za kujengana uwezo maofisini ukitaka waswahili wakuelewe kwa haraka toa mifano ya kingono ndio semina itanoga na kueleweka.
Hata kimalezi chukua mtoto wa kihindi na wa kiswahili, tabia na maono yao ni tofauti kabisa, tusiwachukie wahindi tuwatumie kama mfano kujenga jamii yetu iwe njema na yenye mafanikio.
Wengi hawatakuelewa hapoWengi wao wana elimu kutushinda kwa sababu aliyeleta mfumo wa elimu aliwatreat kama second class race.Hii ikawajenga kujiamini na kwa ujinga wetu tunawapa ushirikiano wa kutuibia huku aliyewapa hicho kiburi anawatumia vizuri kwa manufaa yake.
Asante pesa nyingi za wahindi wa East africa zinawekwa kwenye mabenki ya London.Ndiyo maana IDD AMIN alisema you can not milk a cow without feeding it.Wengi hawatakuelewa hapo
mie huwa nameza mate sitemi kama wahindiKutema mate Sana kawaida yako , Kuna vitu wanakula . Wanaweka mdomoni kama ugoro hivi ..
Mo katimiza ahadi yake ya kutoa mabilioni klabuni, Manara katoa bilioni ngapi, hata ungekuwa wewe usingemuajiri Manara ndani ya klabu yakoNa Mo ni mnafiki na muongo sana..ndio maana akafika hapo alipo...
Sema tu labda kagusa maslahi au kaupiga mwingi sehemu...
Matajiri wengi .. wana figisu za maana kuliko huyo msema ovyo jinga flani manara!
What's your point?Asante pesa nyingi za wahindi wa East africa zinawekwa kwenye mabenki ya London.Ndiyo maana IDD AMIN alisema you can not milk a cow without feeding it.
It's my own opinion and not a point.What's your point?
Duh hii kaliKuna baadhi ya wahindi kujamba hadharani wao sio noma. Anaweza jqmba hata mko boardroom mnafanya kikao. Baadhi wachawi sana. Nilifanya mtihani wa cpa Bunju na mmoja wao aliwekq hirizi zake mezani. Wasimamizi walipomnyang'anya aliacha kufanya pepa mpaka mwisho. Over.
Ni kweli mkuu ukikakaa vibaya aupo duniani ni wachawi balahHakikisha miaka miwili haiishi kabla hujaondoka hapo mkuu. Usijenge ukaribu wala mazoea yoyote na hao watu. Kinyume na hapo utageuzwa msukule utasahau ndoto zako zote na hutakuja kuondoka tena hapo kamwe!
huo ndio ukweli wenyewe kwa taarifa yako hata ubisheHizi ni fikra za kitumwa, tusipende kuendekeza utumwa. Tujitahidi kuwaza kwanguvu na kutokuwa na fikra tegemezi...
Hiyo ishu nahisi kama ina ukweli hivi.Duh hii kali
Hta kwenye kitabu cha mengi amezungumzia sana hili suala!....na mpaka leo kuna sheria japo haipo kwenye maandishi ya kumzuia mswahili yoyote asimiliki benki.nasikia huo ulikuwa ni makakati wa ccm chini ya utawala wa nyerere. bahati mbaya sana hata jiwe alikuwa na mentality kama hii.
nyerere hakuwa tayari kuona watu wake wanafanikiwa kiuchumi. aliogopa sana kuja kupewa changamoto za kisiasa na matajiri wazawa.
matajiri wazawa walianza kuchipuka enzi za utawala wa mzee ruksa. hiki ndio kipindi alichoibuka mzee Reginald Mengi(RIP).
Mimi kuna dingi wangu mkubwa kafanya kazi kwa mhindi tangu kabla sijazaliwa mpaka leo! Kila siku anasema mwaka huu lazma niache kazi siwezi kunyanyaswa namna hii lakini yupo tu hadi karibu anastaafu na cha maana alichofanya hakuna.Ni kweli mkuu ukikakaa vibaya aupo duniani ni wachawi balah