Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Kwa huo mfano wako ina maana watu wa Dar ni vibaka kisa Dar kuna vibaka wengi?
Kanda ya ziwa wote ni makatili kisa kuna watu wanaua wazee kwa imani za kishirikina? au wote ni makatili kisa kuna baadhi huwakata Albino viungo wakiwa hai?
Wingi ninao uongelea ni comperative, sio conclusive.
 

Sifa niijuayo ni kuwa wanagegeda dada zetu, lakini, wa kwao wanaweza kukutoa roho. Inauma sana!
 
Uamuzi unakuja baada ya idadi kuzidi. Jamii yoyote haiwi na wote kufanana, sifa huletwa na wengi.
Mkuu tukumbuke tu ya kwamba hawa Wahindi tulonao Bongo ni wachache sana kulinganisha na hao walobaki makwao (india) hivyo kutumia tabia za baadhi yao waliopo hapa nchini ku-generalize na tabia za Wahindi kwa ujumla ni dhulma kuwadhulumu wahindi.
 
Mkuu tukumbuke tu ya kwamba hawa Wahindi tulonao Bongo ni wachache sana kulinganisha na hao walobaki makwao (india) hivyo kutumia tabia za baadhi yao waliopo hapa nchini ku-generalize na tabia za Wahindi kwa ujumla ni dhulma kuwadhulumu wahindi.
Hata kwao wanadhulumiana sana tu,roho mbaya ni toka kwao
 
Ukamilifu ni wa Mwenyeezi Mungu tu!!
Sisi binaadam tuna mapungufu ya kila AINA!!

Zaid watu wa bara lenye kiza (Afrika) hatuthamini wakati!!
Hatujali mustakabali, Hatuhifadhi na kutunza (Savings)!!
Tuna tanguliza visingizio vingi na kulalama kutwa hiyo ndiyo tegemezi letu Pamoja na kulialia....ndiyo kimbilio!!
 
Hata kwao wanadhulumiana sana tu,roho mbaya ni toka kwao
Ni kweli kabisa kwao wanadhulumiana, kama ambavyo Waafrika hudhulumiana nyumbani na Ughaibuni, kama ambavyo Wazungu walidhulumiana na wanaendelea kudhulumiana Makwao na hapa Afrika, Kama ambavyo Wachina wanadhulumiana, kama ambavyo wajapan hudhulumiana, kma ambavyo Waarabu hudhulumiana na kama ambavyo Wayahudi hudhulumiana.

Ukweli ni kwamba ktk Jamii zote ulimwenguni wapo wadhulumati na wapo wenye roho safi...
Haijalishi mtu anatoka wapi aidha iwe Luanda au London, Baghdad au Berlin, New york au New Delhi, Tehran au Tel Aviv, popote pale watu wema wapo na wabaya wapo.
 
Nikweli ila kufanya nao kazi ni ngumu sana hawa wahindi yataka moyo sana, hawatofautiani sana na wachina........raha ya kazi ufanye na mzungu, anajua haki za binadamu na anajali
 
basi utakuwa uko peke yako dunia nzima wewe ndiyo unalipwa na wahindi mshahara mkubwa.mimi nina bachelor na ninafanya masters now nalipwa laki 6..dogo wa kihindi ana diploma tu hivi vyuo shenzi ya mitaani analipwa $2000.sisi waswahili wote tuliojiriwa na wahindi huwa tunamsemo wetu'wahindi wote ni mbwa tu"kama wanakulipa vzr kuna mawili ama wanakupapasa makalioni ama wanakufanyia michezo ya marehemu kaoge..period.maana ndiyo zao
 
Ni wabaguzi sana jamaa, wanahospital zao, benk, shule nk Nyumba zote za msajiri wametufukuza waswahili
 
Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarkt.
Gengeni anafata fresh foods tofauti na supermarket zimesheheni proccessed foods.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…