Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

wahindi ni wakuda sana, yani wanataka watugongee mademu zetu lakini sisi tukiwagongea wao eti ni laana na huyo binti yao lazima atengwe na jamii yao.

Kingine ndo wanaongoza kuwatongoza dada zetu Facebook /messenger na kuwaonyesha vibamia vyao 😂😂😂
 
Nitatafuta kwingine pakujishikiza, wengi wanaofanya kazi kwa wahindi ni kwa sababu hawana jinsi ndo maana hufanya kazi huku wakitafuta michango mingine
Ukienda kufanya kazi kwa muhindi nenda kwa kutafta maarifa na sio maisha, wamenifundisha ujanja mwingi sana mpaka sasa najitegemea kwa kuendesha biashara zangu na ninashindana na wao.
 
Wahindi sio watu wakukubali kazi unayofanya...unaweza fanya vzr ila ukakosea siku moja tu
 
Ushawai kufanya kazi na mwarabu kwenye kampuni yoyote?
Nimefanya kazi kampuni za watu wa rangi zote.
Nilianzia kampuni ya wahindi,wazungu,wazungu,waswahili,waarabu.
Na hapa ninapoongea niko uarabuni ambako pia population kubwa ni wahindi/Pakistan.
So niko na uzoefu na watu wa aina zote.
Kwenye kampuni za waswahili wanaosumbuaga mara nyingi ni chawa ila sio Boss mwenyewe.
 
Kuna wale Waarabu wa asili weupe, nywele laini ndevu laini most of them wako pouwa sana, wanaroho nzuri munoo. Waarabu koko/wakuchovya sifahamu.

Ukija kwa wadosi dahhhh, hii jamii kufanyanao kazi ni shuguli kweli kweli. Waweza ikimbia kazi.
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Yaani uwatimue watu wanasaidia kuwapa kazi watanzania wenzako wenye Elimu na wasiyo na Elimu

Mkuu unataka tukale wapi ukiwafukuza au unataka nasisi tumiliki pesa za majini? Hebu kuwa serious mkuu
 
Back
Top Bottom