holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
tena wale wenye vyeo wanaofanya kazi kwa wahindi wanajikuta sana pamoja na hawa ccmKila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,kuna baadhi ya waswahili pia ni washenzi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena wale wenye vyeo wanaofanya kazi kwa wahindi wanajikuta sana pamoja na hawa ccmKila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,kuna baadhi ya waswahili pia ni washenzi sana.
Nikweli ila kufanya nao kazi ni ngumu sana hawa wahindi yataka moyo sana, hawatofautiani sana na wachina........raha ya kazi ufanye na mzungu, anajua haki za binadamu na anajali
Mkuu binafsi sijafanya kazi nao ila kusema '...wote wako hivyo...' nakataa.Wote wako hivyo mkuu,nimekutana nao kwenye nchi mbalimbali
Ukienda kufanya kazi kwa muhindi nenda kwa kutafta maarifa na sio maisha, wamenifundisha ujanja mwingi sana mpaka sasa najitegemea kwa kuendesha biashara zangu na ninashindana na wao.Nitatafuta kwingine pakujishikiza, wengi wanaofanya kazi kwa wahindi ni kwa sababu hawana jinsi ndo maana hufanya kazi huku wakitafuta michango mingine
Wote wako hivyo usikatee labda wema kama wanapatkana IndiaMkuu binafsi sijafanya kazi nao ila kusema '...wote wako hivyo...' nakataa.
Labda wa Tabora na SheluiMwarabu hapo ndio umtoe kabisa mkuu,unaongelea mwarabu wa wapi huyo?
MajorityMkuu binafsi sijafanya kazi nao ila kusema '...wote wako hivyo...' nakataa.
Ubahili ndivyo nilivyoelewa mimHapa hoja ni ipi mkuu?
Mkuu gengeni napata nyanya 4 kwa 200 tu, supermarket inaweza kua ivo??Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.
Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
Nimefanya kazi kampuni za watu wa rangi zote.Ushawai kufanya kazi na mwarabu kwenye kampuni yoyote?
Wewe binafsi umefanya kazi na wangapi? Wote? Au watumia vigezo gani ku-generalize? Au ni hisia zako binafsi tu?Wote wako hivyo usikatee labda wema kama wanapatkana India
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda alikutana na waarabu pori wa Sikonge akajua ni OGLabda wa Tabora na Shelui
Amekariri huyo jamaaMkuu gengeni napata nyanya 4 kwa 200 tu, supermarket inaweza kua ivo??
Nimefanya kazi kampuni za watu wa rangi zote.
Nilianzia kampuni ya wahindi,wazungu,wazungu,waswahili,waarabu.
Na hapa ninapoongea niko uarabuni ambako pia population kubwa ni wahindi/Pakistan.
So niko na uzoefu na watu wa aina zote.
Kwenye kampuni za waswahili wanaosumbuaga mara nyingi ni chawa ila sio Boss mwenyewe.
Yaani uwatimue watu wanasaidia kuwapa kazi watanzania wenzako wenye Elimu na wasiyo na ElimuNingekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.