Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

Kijana wa hovyo kwahyo kwenye imagination zako una maisha magumu hivyo sasa kwenye real lofe itakuaje. Tatizo la afya ya akili lipo kwa kiwango kikubwa
Unaweza kusoma na kuandika vizuri ili nikuelewe mzee wangu? Maana ulichoandika hakielewiki kabisa.
 
Mtoa mada amesema kuwa kaashamaliza majukumu ya maendeleo na sasa Hela zake si za mawazo anashea na wengine Kwa gharama ya kuwala na kufurahia maisha na uwekezaji wake.
Kama hahitaji pesa tena kwanini aendelee na kazi ya kusafiri safiri kikazi siange ka dar tu.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.

Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara nyingi nakuwa Dodoma pia sababu shughuli za kikazi Serikali zimehamia huko.

Kama una mke wako yupo Dodoma wewe upo Dar. Kwa asilimia 90 hesabu maumivu. Usimchunge. Ujue tu analiwa. La msingi ajiheshimu. Hali ya huku ni mbaya wanawake wengi wana upweke, wanataka sana company. So inatokea ukisalimiana naye mara mbili tatu ukamtoa out. Basi... Anakuganda. Na anakuambia mapema tu ana mume na watoto au mtoto. So mnaanza kuibiana.

Asilimia kubwa ya wanawake ambao huja kikazi mara moja moja Dodoma hasa kipindi cha bunge wanaliwa sana na watu walioko huku na wale ambao walisoma nao Chuo au kufanya nao kazi zamani. Kirahisi sana.

Asilimia kubwa ya wanawake huendelea ku jamiiana na wanaume ambao walikuwa wa mwisho mwisho kabla ya kuolewa au ambao ilikuwa waoane nao. Kwa asilimia hii kubwa pia imenitokea kwa wanawake kama wa 4 hivi. Ambao miaka hiyo tulidanganyana hivyo. So now tunakumbushiana tu na kuendelea na mchezo mchafu.

Sisi wanaume ambao kwa sasa tumemaliza kusomesha au mahangaiko mengine ya duniani. Tuna nafasi kubwa sana ya kula wanawake wengine maana hatuna tena pesa za mawazo. Tumemaliza kila kitu muhimu. Na wanawake wanajua hayo. Wanatuganda sana.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaokopa kwa wanaume huwa hawarudishi pesa waliyokopa. Wanarudisha in kind. Wanakupa penzi. Nimefanyiwa hivi na wadada 3 ambao walikuja kukopa kwangu.... Baadaye tukawa wapenzi. Now hawakopi wanaomba tu nawapa. Na wawili ni wake wa watu.

Asilimia kubwa ya marafiki wa kike na kiume huwa wanakuja kulana. Hii nimefanya kwa watu 5 tofauti tofauti tumekulana katika mazingira ambayo hatukutegemea ila tukijificha kwenye pombe kuwa ndo sababu. Kisha tukaendelea na huo mchezo na wa3 wawili hatukurudiana tena.

Sasa hayo yanatokea kwa mimi ambaye si mtu sana wa mademu. Nawaza kwa mtu wa mademu inakuaje? Ukiwaza sana unaweza usioe kabisa. Ukaona bora uwe tu unaponea kwa wanawake ambao hujajimilikisha.
Sawa.Jitahidi usipate homa ya ini.Na uwe unasoma zile jumbe za mbao za wakandarasi.Fuatilia sana pale palipoandikwa TAHADHARI!
 
Ni sifa? Wako wanawake wachache wanaojiheshimu, wenye hofu ya Mungu, wanaojitunza kwa ajili ya utukufu wake. Hizi fallacy generalizations tunazikuza sana. Mungu ndie yote katika yote, kama kuna mwanamke ama mwanaume anahangaika wakati ana familia, it will eventually payback. Tunaiabudu zinaa..very sad.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.

Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara nyingi nakuwa Dodoma pia sababu shughuli za kikazi Serikali zimehamia huko.

Kama una mke wako yupo Dodoma wewe upo Dar. Kwa asilimia 90 hesabu maumivu. Usimchunge. Ujue tu analiwa. La msingi ajiheshimu. Hali ya huku ni mbaya wanawake wengi wana upweke, wanataka sana company. So inatokea ukisalimiana naye mara mbili tatu ukamtoa out. Basi... Anakuganda. Na anakuambia mapema tu ana mume na watoto au mtoto. So mnaanza kuibiana.

Asilimia kubwa ya wanawake ambao huja kikazi mara moja moja Dodoma hasa kipindi cha bunge wanaliwa sana na watu walioko huku na wale ambao walisoma nao Chuo au kufanya nao kazi zamani. Kirahisi sana.

Asilimia kubwa ya wanawake huendelea ku jamiiana na wanaume ambao walikuwa wa mwisho mwisho kabla ya kuolewa au ambao ilikuwa waoane nao. Kwa asilimia hii kubwa pia imenitokea kwa wanawake kama wa 4 hivi. Ambao miaka hiyo tulidanganyana hivyo. So now tunakumbushiana tu na kuendelea na mchezo mchafu.

Sisi wanaume ambao kwa sasa tumemaliza kusomesha au mahangaiko mengine ya duniani. Tuna nafasi kubwa sana ya kula wanawake wengine maana hatuna tena pesa za mawazo. Tumemaliza kila kitu muhimu. Na wanawake wanajua hayo. Wanatuganda sana.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaokopa kwa wanaume huwa hawarudishi pesa waliyokopa. Wanarudisha in kind. Wanakupa penzi. Nimefanyiwa hivi na wadada 3 ambao walikuja kukopa kwangu.... Baadaye tukawa wapenzi. Now hawakopi wanaomba tu nawapa. Na wawili ni wake wa watu.

Asilimia kubwa ya marafiki wa kike na kiume huwa wanakuja kulana. Hii nimefanya kwa watu 5 tofauti tofauti tumekulana katika mazingira ambayo hatukutegemea ila tukijificha kwenye pombe kuwa ndo sababu. Kisha tukaendelea na huo mchezo na wa3 wawili hatukurudiana tena.

Sasa hayo yanatokea kwa mimi ambaye si mtu sana wa mademu. Nawaza kwa mtu wa mademu inakuaje? Ukiwaza sana unaweza usioe kabisa. Ukaona bora uwe tu unaponea kwa wanawake ambao hujajimilikisha.
Ukipiga mke wa mtu jua Mali yako italiwa tu
 
Kama hahitaji pesa tena kwanini aendelee na kazi ya kusafiri safiri kikazi siange ka dar tu.
Kama Mo Dewj bado anatafuta pesa itakuwa mimi? Na wapi imeandikwa hahitaji pesa? Uwe unasoma ukiwa umeondoa mawenge.
 
Back
Top Bottom