Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

Ukweli usemwe tuu kugegedana watu wanapenda sema basi tuu wanajisai kuvunga.
Ila bwana hawa wake za watu jamani ni watamu acha kabisa. Sie bodaboda tunaona wanayoyafanya acheni kabisa. Kwa kweli kuoa ni kujisumbua tuu maana mbususu huli weye peke huku huduma zote muhimu unatoa wewe
 
Lakini wacha wanwawake nao waenjoy jamani. Kha! Miaka nenda rudi wee ugegedwe na mbooo moja tuu sii its boring. Takiwa onja mitalimbo tofauti jifunze style mupya mupya. We shuld in fact encourage wale zetu kuchepuka bwana tuenjoy maisha
 
Wakati huo ninyi waume za watu mkiwa kanisani na misikitini mkisifu na kuabudu.?

Dunia inaenda kasi sana, Leo hii wanaume wanawahubiria wanawake juu ya kuchepuka!!! May be they learnt from the best.
 
Aiseeeeee
 
Kwa wanaokataa kuoa nawaelewa sana.
Kizazi hiki vijana wengi hawaheshimu ndoa zao kabisa, wake za watu wanaliwa bila uoga. Wanaume nao wanatoka sana nje ya ndoa zao bila wasiwasi wowote.
Ni kazeze kwakweli.
 
tunazobadilishana
Mkuu umesema kweli ni tabia isiyo na faida yoyote unajiingiza kwenye maagano ya damu ndio maana biblia inasema kwenye kitabu cha mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Ukiwa mlokole utakutana na walokole wenzio, ukiwa mlokole mnafki utakutana na wanafki wenzio, mlevi vivyo hivyo mzinzi vivyo hivyo.

Wewe ni mzinzi lazima ukutanishwe na wazinzi wenzio, usingelikua mzinzi halfu ukashuhudia hayo, ungeaminika zaidi.
 
Kausha hata mkeo pia mbona nishamla !! Ndo uhalisia wa maisha huo . Siku hizi wanamsemo wao Sasa K nayo ni kitu ya kumnyima mtu ?
 
Akili ukiziendekeza kwenye ngono hutafanya kazi za maendeleo don't give sex priority utaumia bure. Kuna mambo mengi muhimu ya kufanya kuliko kuwaza nani kamla mkeo, mwanamke analiwa popote pale.
Keshasomesha watoto kamaliza ! Hana baya na maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…