Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.

Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara nyingi nakuwa Dodoma pia sababu shughuli za kikazi Serikali zimehamia huko.

Kama una mke wako yupo Dodoma wewe upo Dar. Kwa asilimia 90 hesabu maumivu. Usimchunge. Ujue tu analiwa. La msingi ajiheshimu. Hali ya huku ni mbaya wanawake wengi wana upweke, wanataka sana company. So inatokea ukisalimiana naye mara mbili tatu ukamtoa out. Basi... Anakuganda. Na anakuambia mapema tu ana mume na watoto au mtoto. So mnaanza kuibiana.

Asilimia kubwa ya wanawake ambao huja kikazi mara moja moja Dodoma hasa kipindi cha bunge wanaliwa sana na watu walioko huku na wale ambao walisoma nao Chuo au kufanya nao kazi zamani. Kirahisi sana.

Asilimia kubwa ya wanawake huendelea ku jamiiana na wanaume ambao walikuwa wa mwisho mwisho kabla ya kuolewa au ambao ilikuwa waoane nao. Kwa asilimia hii kubwa pia imenitokea kwa wanawake kama wa 4 hivi. Ambao miaka hiyo tulidanganyana hivyo. So now tunakumbushiana tu na kuendelea na mchezo mchafu.

Sisi wanaume ambao kwa sasa tumemaliza kusomesha au mahangaiko mengine ya duniani. Tuna nafasi kubwa sana ya kula wanawake wengine maana hatuna tena pesa za mawazo. Tumemaliza kila kitu muhimu. Na wanawake wanajua hayo. Wanatuganda sana.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaokopa kwa wanaume huwa hawarudishi pesa waliyokopa. Wanarudisha in kind. Wanakupa penzi. Nimefanyiwa hivi na wadada 3 ambao walikuja kukopa kwangu.... Baadaye tukawa wapenzi. Now hawakopi wanaomba tu nawapa. Na wawili ni wake wa watu.

Asilimia kubwa ya marafiki wa kike na kiume huwa wanakuja kulana. Hii nimefanya kwa watu 5 tofauti tofauti tumekulana katika mazingira ambayo hatukutegemea ila tukijificha kwenye pombe kuwa ndo sababu. Kisha tukaendelea na huo mchezo na wa3 wawili hatukurudiana tena.

Sasa hayo yanatokea kwa mimi ambaye si mtu sana wa mademu. Nawaza kwa mtu wa mademu inakuaje? Ukiwaza sana unaweza usioe kabisa. Ukaona bora uwe tu unaponea kwa wanawake ambao hujajimilikisha.

Hiyo Iko bothside not only kwa wanawake
 
Acha kuogoopesha watu na karma sijui karama,hili kitu haipo labda kwa mpuuzi tu ndo ataamini,mimi nilisalitiwa au nilikataliwa na mpenzi wangu ilihali mimi maishani kwangu sikuwahi kufanya jambo hilo,je hayo ni karma!? Yesu alisurubiwa msalabani je nayo waswma alikuwa analipa gharama za karma!?,kuna matajiri huvamiwa na kuuliwa na majambazi nao ni karma!?
Huu ujuaji wa mambo ndo unawacost wengi sana ikiwemo na wewe mambo ya yesu na kusurubiwa sijui hapa yameingiaje tena, ulisalitiwa kwa ujuaji kama huu au unataka kutuaminisha kwamba ulkua msafi sana ila ulisalitiwa kimakosa/ulionewa eti.. So na wewe unaona mwanetu anachokifanya ni sahihi? Amini kwamba kila baya na zuri ulifanyalo lina malipo yake tena yana anza hapa uraiani tu...
 
MaOfisini nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu wake za watu wakiliwa,na bado ikitokea safari (fieldwork) wanaliwa sana.
Mwanamke wa kiafrika ni wako ukiwa naye kitandani.
Watu wanapaswa kujifunza hili. But naona sanakomaa tu na petty issues.
 
Huu ujuaji wa mambo ndo unawacost wengi sana ikiwemo na wewe mambo ya yesu na kusurubiwa sijui hapa yameingiaje tena, ulisalitiwa kwa ujuaji kama huu au unataka kutuaminisha kwamba ulkua msafi sana ila ulisalitiwa kimakosa/ulionewa eti.. So na wewe unaona mwanetu anachokifanya ni sahihi? Amini kwamba kila baya na zuri ulifanyalo lina malipo yake tena yana anza hapa uraiani tu...
Acha kunitisha na karma sijui karama,nijibu yesu aliposurubiwa msalabani alikuwa analipa karma/karama ipi
 
Ni mtu mzima hovyo huyo
Kwa maelezo yake tayari ni malaya wa kiume
Mbona unatokwa sana na povu kijana? Una stress za maisha? Makasiriko? Just calm down ni kuendelea kupambana tu ukinikasirikia mimi haikusaidii
 
Acha kuogoopesha watu na karma sijui karama,hili kitu haipo labda kwa mpuuzi tu ndo ataamini,mimi nilisalitiwa au nilikataliwa na mpenzi wangu ilihali mimi maishani kwangu sikuwahi kufanya jambo hilo,je hayo ni karma!? Yesu alisurubiwa msalabani je nayo waswma alikuwa analipa gharama za karma!?,kuna matajiri huvamiwa na kuuliwa na majambazi nao ni karma!?
Umemjibu vizuri sana. Sijui kama atakuja tena na habari za Karma.
 
Kula tu za mwizi 40 wakiomba kupasua ft speaker ndo utajua cheap is expensive
 
Back
Top Bottom