Utakuwa unaishi sayari nyingine,Hakifanyiki duniani kote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unaishi sayari nyingine,Hakifanyiki duniani kote
Taja nchi moja tu inayosema ikishafika wakati uchaguzi rais aliyeko madarakani anaacha madaraka hayo! Hakuna kabisa. Ila rais alyeko madarakani akishindwa wakati wa uchaguzi, basi anasimamia uapishwaji wa aliyemshindwa na kumkabidhi nchi halafu yeye anajiondokea kurudi mtaani kwake.Utakuwa unaishi sayari nyingine,
Kumbe majibu unayo halafu unajitoa akili, maagizo wanayatoa kwa vile bado wapo madarakani. Hao wapinzani watatoa misaada gani wakati wao wenyewe wanaomba kusaidiwa?Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo chini yao,
Mfano: Unakuta mgombea urais anatoa maagizo ya kujenga barabara na pia kutoa pesa hadharani kama zawadi, Makamu wake akiagiza halmashauri kuongeza pesa za mikopo kwa vikundi mbalimbali, huku Waziri mkuu akiagiza kurejeshwa kwa baadhi ya mashamba huko Singida.
Hivi hao wapinzani wakitoa misaada wakati huu wa kampeni si watachukuliwa wanatoa rushwa?
Natamani katiba ibadilike tu, kikifika kipindi cha kampeni kila aliyekuwa na madaraka avuliwe ili waingie uwanjani wakiwa katika kiwango kimoja tofauti na sasa.
Sasa kuomba kunakuwaje ujambazi duu kweli lumumba mmepoteana 😄😄😄Ina maana haujaona wapinzani wakiomba michango toka kwa wananchi waliotoka kuwaita masikini muda mfupi uliopita. Huoni kama huo nao ni ujambazi wa kisiasa?
Yap ni kweli, I am wrong nilifikiri argument yako ipo kwamba unatakiwa kutoka madarakani ktk kipindi hicho.Taja nchi moja tu inayosema ikishafika wakati uchaguzi rais aliyeko madarakani anaacha madaraka hayo! Hakuna kabisa. Ila rais alyeko madarakani akishindwa wakati wa uchaguzi, basi anasimamia uapishwaji wa aliyemshindwa na kumkabidhi nchi halafu yeye anajiondokea kurudi mtaani kwake.
Hivi wewe umesoma hata kidogo? Mgumu kuelewakipindi
Hapa tunajadiliana kumbuka hilo.Hivi wewe umesoma hata kidogo? Mgumu kuelewa
Kitu kipo wazi unataka kupindisha au umelamba unga wa ndele?Hapa tunajadiliana kumbuka hilo.
Kipi kilicho wazi wewe?Kitu kipo wazi unataka kupindisha au umelamba unga wa ndele?
Yes.Vurugu.nyingi.ni.za kugomea kukabidhi.madaraka baada. ya matokeo kutangazwa na kushindwa.Taja nchi moja tu inayosema ikishafika wakati uchaguzi rais aliyeko madarakani anaacha madaraka hayo! Hakuna kabisa. Ila rais alyeko madarakani akishindwa wakati wa uchaguzi, basi anasimamia uapishwaji wa aliyemshindwa na kumkabidhi nchi halafu yeye anajiondokea kurudi mtaani kwake.
Naona unalalamika tu bila kuja na alternative,
Jambo hili lipo dunia nzima Rais anabakia kuwa madarakani na ni mgombea.
Kuna nchi hata moja ambayo inafanya hivyo?Ndiyo, angeacha madaraka kwa Jiji mkuu
Pale tume kuna yule sijui mjita au mkurya anaitwa mahela, yaani ushabiki wake kwa ccm haufichwi kamwe.Leo katishia kumsimamisha lissu kwenye kupiga kampeni kisa eti katishia kuvunja amani, wakati magu kanda ya ziwa katwanga kilugha mwanzo mwisho kinyume cha maadili ya tume. Tume wako kimya tu
Siku ikitokea ccm ikaondoka madarakani Tanzania tutaishi maisha mazuri sana!!
Jaji MkuuKwahiyo kama sasa kipindi hiki cha kampeni nchi ingetakiwa iwe haina rais?