Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

Magoli yanatakiwa yaangaliwe na idadi ya camera ili yawe magoli?
Hebu tuambie yanatakiwa yaangaliwe na camera ngapi?
 
Yaah unajua watu wa simba wengi ni mazwazwa hizi ishue zikienda hivi siku nyingine itakuja kutokea kwa timu nyingine na itakuwa mchezo uliozoeleka pale hakuna nini wala nini lile goli halali kabisa wanaleta michezo ya kufix match sio vizuri kabisa kwa soka la Africa
 
Ona huyu anaropoka.
Kwahiyo sisi macho hatuna??
Yani mpira umedunda kwenye goal line ilhali kivuli chote kipo ndani ya goal line??
Weeeh!Huzungumzi na watoto hapa
 
Mamelod + CAF + VAR + MOTSEPE = YOUNG AFRICA
 
Mtazaoe tu 😂😂😂
 
Sawa mkuu kwa nn refa hajaenda kwenye var angalau kutuzuga tu sisi wa buza.
 
Huyo refa ni Arajiga wa Mamelody kama alivyo Arajiga wa Yanga anavyowabeba kwenye NBC league na Azam Confederation Cup. Kwa hiyo mmeamini malipo ni hapa hapa duniani. Tuna mechi kibao ambazo Yanga imezulumu ushindi wa timu nyingine kwa sababu tu ya refa kama Arajiga na wengineo wenye mahaba na Yanga. Na mkiendelea kukaza fuvu nitaweka clip zake hapa
 
Unaandaaa video???!!!
 
Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
Azam wao walirusha tu hayo matangazo sio wenye kamera. Na hapo ndipo panaonyesha udhaifu mkubwa wa CAF kwa wanaopewa haki ya kurusha hayo matangazo kuwa Wana kiwango kidogo Cha ubora.
 
Hivi mbona camera za nyuma au angle nyingine hazijaonyeshwa? Ina maana upande wa goli like hakuwa na kamera za nyuma?

By the way I m Simba fan but Yanga deserved that goal.
Hakuna goli pale, usiwadanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…