Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

💣💣💣💣💣💥💥💥💥💥
 
Tuwekee ushahidi hapa wa izo kamera zingine ili tuache kulalamika
 
Tuwekee ushahidi hapa wa izo kamera zingine ili tuache kulala
 
Comments reserved
 
Sasa mbona unaleta sheria tu bila highlight au picha za tukio lenyewe? Mpira wote uliingia ndani ya mstari. Izo camera za juu goli zinazotumika kuamua kama zilikuwepo mbona hatukuoneshwa highlights zake kama tunavyoona mechi za ulaya? kama hazikuwepo maana yake maamuzi yanatakiwa kufanywa na kamera izo izo zilizopo
 
Bashite mkubwa we, kwa hiyo tuwe tunasubiri video zako siku 3 kuamua matokeo ya mechi?
 
We waache waende CAF na FIFA wakavune aibu ya pili,wanabweka ovyo kama wameambukizwa kichaa cha mbwa vile.
 
Vertical image ndio itaondoa utata. Inahitajika picha kutoka camera iliyo kwenye nguzo ya juu ya goli ikiuangalia mpira chini vertically.

Hiyo picha ya kwapembeni inaonesha uvungu wa mpira.

Haiondoi utata KWA asilimia 100
Vyura hawaelewi logic hiyo yaani kama wote wameshikiwa akili na mtu mmoja.
 
Wewe umetumia camera ngapi kuona.?
 
Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
Kama hujui kitu nanyamaza.

Huu ujinga cjui utawatoka lini nyie Wabongo, kila mechi mnaihusisha na Azam kama vile wao ndio wamefanya production ya hiyo mechi.
 
Wao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goliView attachment 2955168
Acha ujuaji, hy camera haiwezi kuondoa utata mana hy camera ipo pembeni, camera inayotakiwa hapo ni iwe sambamba na mstari wa goli na sio pembeni, hata goal line inatumia camera iliyo kwenye mstari sambamba na goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…