Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Wabongo wengi wapumbavu wapumbavu. Yaani yeye akili yake anadhani anawakomoa Yanga.Mkuu itoshe kusema tu kwamba wewe ni mpumbavu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wengi wapumbavu wapumbavu. Yaani yeye akili yake anadhani anawakomoa Yanga.Mkuu itoshe kusema tu kwamba wewe ni mpumbavu!
Sasa mbona VAR hawajaonesha hilo?Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
💣💣💣💣💣💥💥💥💥💥Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Tuwekee ushahidi hapa wa izo kamera zingine ili tuache kulalamikahuwenda una matatizo ya akili au hauna akili timamu!
page nyingi za soka africa wanadai ilo no goli halali, unahisi wote walikua wanaangalia camera za azam tv?
pia jiulize kwanini Refa hakwenda kujiridhisha kwenye VAR ila akawasiliana tu kwa vifaa vyake vya mawasiliano na watu waliopo chumba cha VAR?
Tuwekee ushahidi hapa wa izo kamera zingine ili tuache kulalahuwenda una matatizo ya akili au hauna akili timamu!
page nyingi za soka africa wanadai ilo no goli halali, unahisi wote walikua wanaangalia camera za azam tv?
pia jiulize kwanini Refa hakwenda kujiridhisha kwenye VAR ila akawasiliana tu kwa vifaa vyake vya mawasiliano na watu waliopo chumba cha VAR?
Comments reservedNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Sasa mbona unaleta sheria tu bila highlight au picha za tukio lenyewe? Mpira wote uliingia ndani ya mstari. Izo camera za juu goli zinazotumika kuamua kama zilikuwepo mbona hatukuoneshwa highlights zake kama tunavyoona mechi za ulaya? kama hazikuwepo maana yake maamuzi yanatakiwa kufanywa na kamera izo izo zilizopoNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Refa angemaliza mechi na ingehesabika yanga wamefungwa na wangepewa adhabuHivi yanga wangegoma kuendelea na mchezo nini kingetokea...!!?
Bashite mkubwa we, kwa hiyo tuwe tunasubiri video zako siku 3 kuamua matokeo ya mechi?Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
We waache waende CAF na FIFA wakavune aibu ya pili,wanabweka ovyo kama wameambukizwa kichaa cha mbwa vile.Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Vyura hawaelewi logic hiyo yaani kama wote wameshikiwa akili na mtu mmoja.Vertical image ndio itaondoa utata. Inahitajika picha kutoka camera iliyo kwenye nguzo ya juu ya goli ikiuangalia mpira chini vertically.
Hiyo picha ya kwapembeni inaonesha uvungu wa mpira.
Haiondoi utata KWA asilimia 100
Halafu bado kuna Matanzania yanevimbiwa mihogo huko yanasema siyo goli? Ulimwengu mzima umeshuhudia lile ni goli!Hata wenyewe wameona
View attachment 2955534
Ila bora lawama kuliko fedhea ile...bora ingepewa adhabu tuRefa angemaliza mechi na ingehesabika yanga wamefungwa na wangepewa adhabu
Kwan hizi ndizo picha ya goli la aziz.?Bado hamjasema mpira haujadundia nje ya touch line check hapo
Wewe umetumia camera ngapi kuona.?Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Kugomea mechi hapana sema pale wachezaji ambao hawana kadi wangemzonga refa aende kuangalia VARIla bora lawama kuliko fedhea ile...bora ingepewa adhabu tu
Kama hujui kitu nanyamaza.Sasa Azam Wana camera gani za kuzoom Lile goli 😂 pale var ndo inaonesha kila kitu camera za tv ukizoom utaona goli ila kisheria sio
Acha ujuaji, hy camera haiwezi kuondoa utata mana hy camera ipo pembeni, camera inayotakiwa hapo ni iwe sambamba na mstari wa goli na sio pembeni, hata goal line inatumia camera iliyo kwenye mstari sambamba na goli.Wao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goliView attachment 2955168