Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Ndio haya mambo kila siku mnakatazwa kufukunyua simu za watu hamsikiii.....! Sasa unalalamika nini .....? Hichi ndicho ulicho kuwa unakitafuta haya sasa umekipata furahi sasa.
Hujielewi na hujaelewa ninatotafuta hapa so better keep quiet [emoji2958] . Aliyekuambia nilifukunyua nani? Kama alinipa nimpigie mtu simu the sms ikapop na kuonyesha content utajuaje.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Walioelewa wanatoa ushauri.
 
Pole sana dadangu hili jambo ni gumu sana.Kama unavosema inatia sana kinyaaa pia.Hapo talaka ndo suluhisho kwa sababu kwa dini zote hili jambo halitakiwi na ni dhambi mbaya sana.
Naunga mkono hoja
 
Ni mawazo yako. Usilazimishe yawe mawazo ya wote
 
Wanamtoboa SPIKA?
 
Ni mawazo yako. Usilazimishe yawe mawazo ya wote
 
Sijaona ushahidi wa maana kuwa mume wako anashiriki mapenzi hayo zaidi ya kusema umeona sms, sms haimaanishi kwamba alipewa.

Taratibu zipo za kufuata 1: ongea nae ili akudhibitishie kama kweli anafanya hivyo na umkataze, 2: ni kufanya mazungumzo na ndugu zenu wa karibu..3: kwenda baraza la usuluhishi
 
Asante kwa mfano na ushauri pia.
 
Asante
 
Haka kamchezo naona kameshamiri sana. Shukuru Mungu kwamba yeye haliwi, maana watu wanasema siku hizi wanaume nao wamekuwa shida sana.

Ongea nae myamalize, bahati mbaya baadhi yenu mnapenda hiyo michezo, lakini pia baadhi ya wanaume wanahusudu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…