Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

Kwani mama, bibi hawawezi kuwa wachawi kukuroga?
Ndio mwanzo wa kuvunjika kwa familia. Mzazi akulee ufike miaka 30 aje akuroge ufe kwanini hakukuua tangu ukiwa mdogo?
 
Natamani kumwambia aisee ila naogopaaa kuna mtu kaniambia mchawi hakubali hata siku moja kuitwa mchawi yan vita yake sio ndogo…sasa najiangalia na hali yangu sasa sielewi
Kama una watu wengine ambao utakuwa nao mchane mchana kweupe, na hawezi kukubali na anaweza kulia sana nakusikitika mno, utasikia nakuhangaikia hivi leo unaniambia hivi? Wewe mwite YESU tu hakuna linalomshinda
 
Yan kanitia nuksi sasa yeye hana maisha yoyote mimi ndio naisaidia familia nzima.. mpaka pesa ya kula mimi ndio nampa. Nimechoka kisa ni kirefu na kinasikitisha napitia magumu sana
Pole sana
 
Nunua panga jipya linoe mbele na nyuma,kula bangi msokoto mmoja Kisha mfate mwambie habari zako zote na ubaya wote unaonifanyia Nisha jua Sasa ama zangu ama zako
Rudi kunishukuru
 
Wewe dini gani? Maana dini yenu itaamua kati yenu, mfano ingekuwa miye ningefanya Alhbadir mchana kweupe. Kati yetu anayemtafuta mwenzio atangulie huko. Haya mambo ni siri ya mtu na nafsi yake huwezi jua mpk likupate ndiyo utajua km wa karibu yako ndiyo mmbaya.
 
Bwege wewe ulikuwa hujui kuwa hata wazazi wenu ni vigagula!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…