Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au mrukie pale kawe......Unatakiwa uwe deep sana kweli
Ukizingua tu unakufa
Pamoja sana mkuu.Ukimtegemea Mungu hakuna kitachoharibika,utashangaa tu ndugu yako ameanza kukuchukia,hapo ujue ameshaonja joto la jiwe kutokana na kinga ambayo Mungu atakupa.Nashukuru sana kwa ushauri
Sawa mkuu ila mpaka nasema hivi amini nimeshuhudia mengiKama hayajawahi kukuta nyamaza, yawezekana hata wewe ni wale wale tu
Nakushauri kwanza uhame hapo tunaishi nae, pili tafuta kanisa lenyewe nguvu Y Mungu has wa ufanyiewe maombi, na uwe serious maana ukizembea watakukula nyama!Habari zenu.
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point…ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan mchawi au mwanga. Mimi nilikuwa naandamwa na mitihani mingi ya kiswahili magonjwa ya ajabu, vifungo yan kila aina ya nuksi imeniandama. Sasa huyu ndugu yangu alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa waganga kutafuta suluhu. Na huko tulikuwa tunaambia watu fulani wananifanyia hivi. Sasa kumbe huyu mtu na yeye ni mshirika mkuuu na ila alikuwa ananizunguka kwa hao waganga.
Kisa ni kirefu sana na kuhusu kujihakikishia hili jambo nimejihakikisha kabisa mpaka nimefika kuandika hapa., ila sasa baada ya kugundua nimepata uoga sana maana ni ndugu wa damu na tunaishi nyumba moja. Nahofia maisha yangu sina amani, na hapa nilipo nimepigwa kombora mwili wote unauma yan nimekuwa kama mzee hata kutembea kwa dakika 10 siwezi.
Naomba mnisaidie ushauri japo kwa ufupi.
Wale wa matusi na kejeli naomba mnihurumie mpite kimya kimya
Ndio mwanzo wa kuvunjika kwa familia. Mzazi akulee ufike miaka 30 aje akuroge ufe kwanini hakukuua tangu ukiwa mdogo?
Classmate was M7,
Sasa si uende kwa wataalamu au Masheikh wengine bila kufuatana nayeAsante kwa ushauri ..yan nimechoka sana. Yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa mashekh na waganga kumbe alikuwa ananizunguka
yaan mm sjaelew ww uligunduaje km ni mchaw ufafanuz pls il niweze kutoa ushaul utakaokusaidiaHabari zenu.
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point…ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan mchawi au mwanga. Mimi nilikuwa naandamwa na mitihani mingi ya kiswahili magonjwa ya ajabu, vifungo yan kila aina ya nuksi imeniandama. Sasa huyu ndugu yangu alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa waganga kutafuta suluhu. Na huko tulikuwa tunaambia watu fulani wananifanyia hivi. Sasa kumbe huyu mtu na yeye ni mshirika mkuuu na ila alikuwa ananizunguka kwa hao waganga.
Kisa ni kirefu sana na kuhusu kujihakikishia hili jambo nimejihakikisha kabisa mpaka nimefika kuandika hapa., ila sasa baada ya kugundua nimepata uoga sana maana ni ndugu wa damu na tunaishi nyumba moja. Nahofia maisha yangu sina amani, na hapa nilipo nimepigwa kombora mwili wote unauma yan nimekuwa kama mzee hata kutembea kwa dakika 10 siwezi.
Naomba mnisaidie ushauri japo kwa ufupi.
Wale wa matusi na kejeli naomba mnihurumie mpite kimya kimya
Huko kwa mashekhe ndipo wachawi walipo.Sasa si uende kwa wataalamu au Masheikh wengine bila kufuatana naye
Hama hapo nenda ukapange mbali sanaHabari zenu,
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan mchawi au mwanga. Mimi nilikuwa naandamwa na mitihani mingi ya kiswahili magonjwa ya ajabu, vifungo yan kila aina ya nuksi imeniandama. Sasa huyu ndugu yangu alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa waganga kutafuta suluhu. Na huko tulikuwa tunaambia watu fulani wananifanyia hivi. Sasa kumbe huyu mtu na yeye ni mshirika mkuuu na ila alikuwa ananizunguka kwa hao waganga.
Kisa ni kirefu sana na kuhusu kujihakikishia hili jambo nimejihakikisha kabisa mpaka nimefika kuandika hapa., ila sasa baada ya kugundua nimepata uoga sana maana ni ndugu wa damu na tunaishi nyumba moja.
Nahofia maisha yangu sina amani, na hapa nilipo nimepigwa kombora mwili wote unauma yaani nimekuwa kama mzee hata kutembea kwa dakika 10 siwezi.
Naomba mnisaidie ushauri japo kwa ufupi.
Wale wa matusi na kejeli naomba mnihurumie mpite kimya kimya
Ha ha ha ha [emoji16][emoji16][emoji16] akienda huko ndiko atawakuta wale wale, maana kule ni kama samakk na majiHuko kwa mashekhe ndipo wachawi walipo.
They are masquerading as sheikhs and pastors to even further bind you spiritually. Wengine wanajiita sijui waganga kumbe WACHAWI fulu.
Sasa hiyo yote ni mitego, lazima uwe na akili kama nyoka.
Njia salama ni KUJIAMINI na KUJIOKOA mwenyewe.