Huu ujumbe umekaa vizuri na akifika huko abadili mawasiliano yake asimzoee tena, hata Yesu alimkimbia Herode asimudhuru.Najua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.
KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
Shughuli yote hiyo yann si amuue Tu? Sasa uanze kumwabudu kwanza Mungu alafu awe anaomba sio kuomba Tu nikuomba sana ,mpaka Mungu huyo aje amsikie ameshakufa tayari. Njia fupi na haraka nikummaliza Tu kabla hajamalizwa yeye.Msamehe huyo ndugu yako, anza kumwabudu MUNGU akulinde huku ukiwa unaomba sana.
Muombe YESU atakushindia, vita vyetu sio vya damu na nyama ni vya kiroho
Inauma sana najua ...
Nilishapitia haya....
Ni vema ukampa makavu,hii itamfanya naye ajue kuwa unamfahamu,japo huwa hawakubali kuambia wachawi.Natamani kumwambia aisee ila naogopaaa kuna mtu kaniambia mchawi hakubali hata siku moja kuitwa mchawi yan vita yake sio ndogo…sasa najiangalia na hali yangu sasa sielewi
MCHAWI HASAMEHEWI.Msamehe huyo ndugu yako, anza kumwabudu MUNGU akulinde huku ukiwa unaomba sana.
Hivi Mungu tukimuomba bila kulia huwa asikii?Ibada,Mlilie sana Mungu wako
We kausha tu....mchoz unakujaga tuHivi Mungu tukimuomba bila kulia huwa asikii?
Pwani Kuna wanga ndo mana wanaroga ndugu zao wanaowajua na kuwaomba msamaha, bara Kuna wachawi. Katibiwe tabora,kigoma au simiyu.Habari zenu,
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan mchawi au mwanga. Mimi nilikuwa naandamwa na mitihani mingi ya kiswahili magonjwa ya ajabu, vifungo yan kila aina ya nuksi imeniandama. Sasa huyu ndugu yangu alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa waganga kutafuta suluhu. Na huko tulikuwa tunaambia watu fulani wananifanyia hivi. Sasa kumbe huyu mtu na yeye ni mshirika mkuuu na ila alikuwa ananizunguka kwa hao waganga.
Kisa ni kirefu sana na kuhusu kujihakikishia hili jambo nimejihakikisha kabisa mpaka nimefika kuandika hapa., ila sasa baada ya kugundua nimepata uoga sana maana ni ndugu wa damu na tunaishi nyumba moja.
Nahofia maisha yangu sina amani, na hapa nilipo nimepigwa kombora mwili wote unauma yaani nimekuwa kama mzee hata kutembea kwa dakika 10 siwezi.
Naomba mnisaidie ushauri japo kwa ufupi.
Wale wa matusi na kejeli naomba mnihurumie mpite kimya kimya
USHAURI mzuri mnoo. Kuhama nako ni tibaNajua atakuwa kafunga uchumi wako kwa kutumia nyota yako, sasa ukishamgundua mpuuzi wa namna hiyo wala usimwamshe, cha kufanya, jiaminishe kwake upate mtaji hata kwa kumuomba kidogokidogo, sasa ukishakamilisha unamwambia nimepata kazi kiwanda ama sehemu flani kama ni unaish Dar nenda Mwanza kaanze maisha yako, pitia mahala ukatibiwe.
KUKAA KARIBU NA ADUI YAKO NI KUMPA UHURU WA KUKUFANYA LOLOTE ATAKALO... ATAKUUMIZA
Mimi sio mchawi wala mshirikina. Namuomba Allah aniweke mbali na mambo hayo kabisa.Huwa sibishani na jamii kama yako maana huenda ni wale wale, hivi ukisikia mchawi unazani anaroga akina nani kwa mfano! Watu wanaokataa na wao huwa wanachama, halafu mie Allah simjui wala kumfahamu.
Ukiokoka lazima watu wakuone chizi ni sababu wewe unaona mambo ya Rohoni na wenzio hawayaoni...Sema mkiokoka mnakuwaga kama machizi[emoji28]unaweza kumuona mchawi wewe bila uchawi?
Mchawi na mganga lao moja[emoji16] watz kama nyie ndio mnataka kuandamana Kisa bandari?akilia zetu zipo mat*Koni sijui?Hao waganga ulikoenda kuzunguka nae hawakumstukia kuwa ndugu yako mwanga?Kwa hiyo umempata mganga mwingine konki?Yaani ushuzi mtupu.
opposite ya nguvu za giza ni Neno la Mungu. Pata msaada wa maombezi. Na uwe makini wapi ukaombewe maana siku hizi kuna baadhi ya watumishi ni washirikinaHabari zenu,
Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani.
Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan mchawi au mwanga. Mimi nilikuwa naandamwa na mitihani mingi ya kiswahili magonjwa ya ajabu, vifungo yan kila aina ya nuksi imeniandama. Sasa huyu ndugu yangu alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa waganga kutafuta suluhu. Na huko tulikuwa tunaambia watu fulani wananifanyia hivi. Sasa kumbe huyu mtu na yeye ni mshirika mkuuu na ila alikuwa ananizunguka kwa hao waganga.
Kisa ni kirefu sana na kuhusu kujihakikishia hili jambo nimejihakikisha kabisa mpaka nimefika kuandika hapa., ila sasa baada ya kugundua nimepata uoga sana maana ni ndugu wa damu na tunaishi nyumba moja.
Nahofia maisha yangu sina amani, na hapa nilipo nimepigwa kombora mwili wote unauma yaani nimekuwa kama mzee hata kutembea kwa dakika 10 siwezi.
Naomba mnisaidie ushauri japo kwa ufupi.
Wale wa matusi na kejeli naomba mnihurumie mpite kimya kimya
KAbsa kabsa vuta nyingne yapaswa kukabiliana nazoUshauri sahihi kabisa huu.