Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

IMG_9963.jpg
 
Natamani kumwambia aisee ila naogopaaa kuna mtu kaniambia mchawi hakubali hata siku moja kuitwa mchawi yan vita yake sio ndogo…sasa najiangalia na hali yangu sasa sielewi
Una Utovu wa nidhamu dogoo mgonjwa!!
 
Yani uchumi ndio kaufunga, nakumbuka Mimi nilikuwa nikipata kazi tu akijua kazi inaisha, alafu akawa anajifanya kunisaidia ila pesa zake ni za kichawi zinaisha haraka huwezi fanyia kitu...
Sasa dawa ya mtu kama huyo ni kujifanya mjinga ukifikisha hela inayoweza kukutibu na ukabaki na mtaji nenda kajitibu kwanza nenda mbali kabisa, huyo amekutangulia katika kujua kuwa KIROHO wewe ni MKUBWA zaidi yake.

ULICHELEWA KULIJUA HILO...
 
Mshirikina anaenda kwa mganga na anae kupeleka na huyo mganga pia mshirikina. Wacha kabisa tabia za kuamini na kufuata washirikina fanya ibada muamini Allah Kareem atakuonyesha njiawa njema. Muombe yeye Rahman muongozo mzuri atakuongoza usimtegemee binaadamu mwenzeo
 
Ni kisa kirefu siwezi kuelezea na imenichukua miaka mitatu mpaka kuja kugundua juzi ..
Asa huwazi elezea nani atakuamini kuwa unachosema kinauhalisia.., usijekuta ni maneno ya mganga tu kuwachonganisha kuwa makini ndugu
 
Asante kwa ushauri ..yan nimechoka sana. Yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kunipeleka kwa mashekh na waganga kumbe alikuwa ananizunguka
Pole sana tafuta huduma ya maombi kimya kimya bila yeye kujua japo kwenye giza atajua tu [emoji26] tafuta mtu akupeleke hivi unazani shida nyingi za watu hutoka mbali? Ni humo humo ndani.
 
Wewe mchane ukweli tuu,,"Mwambie nduguu!!kuliko haya mateso unayonipa kwa mauchawi yako ya kinyoko mbili si bora uniue tuu Mamameeehh"huku macho makavuuu!!!
Akimuua kweli , apate pakusimamia kwanza ataanza kusema ndugu yake kapata kichaa
 
Back
Top Bottom