Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ohh yes. Bora hawa wanasomeshekaNa Majambazi nao wanajua hela zitaanza kuwekwa ndani,Sasa hawachezi mbali.
Nunua assets kama ardhi n.k au nenda kahifadhi uswisi kama wanasiasa wanavyofanya.
Huwez kutunza pesa zote in form of assets,,, u sometime need cash in case an opportunity arise, u grab it faster!¡!!!Weken pesa kweny mirad au nje ya nchi
ila hapo napo ni inshuHuwez kutunza pesa zote in form of assets,,, u sometime need cash in case an opportunity arise, u grab it faster!¡!!!
Tupe mifano mkuuHaya mambo ni mageni hapa Tanzania ila huko mbele ni kawaida sana.
With time tutazoea.
TrueHuu uhuni unapaswa kukemewa vikali mno, kinachosikitisha wanafunga Hadi account zisizohusika na biashara husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya sanaNi ujinga tu wa tz umewajaa kuanzia wa ngazi ya chini Hadi ya juu.
Tax system ni mbovu na Ina mianya mingi,,Sheria nyingi ni mbovu,,watu wanatamaa na uchu tu wa kupora Mali za watu.
Kama una pesa mingi fanya kama wafanyavyo wahindi na wachina nenda kawekeze nje ya nchi kule Kunako usalama.