Nimegundua ni hatari kuhifadhi pesa benki ukiwa unafanya biashara Tanzania

Nimegundua ni hatari kuhifadhi pesa benki ukiwa unafanya biashara Tanzania

Haya mambo ya safe ndani haya nikujipalilia kifo mapema kwakweli...

Hapo utawindwa na mwenzi wako hadi mpatie namba za siri vinginevyo yeye ndio anaweza kuwa ndio chanzo cha kuleta majambazi wa mchongo yote hiyo wachukue mitipula iliyo ndani ya hilo safe...
Unaliwekaje sehemu anayoina? Mwanamke sio kiumbe wa kumuamini hata kidogo kwenye issue za hela inayozidi 10ml
 
Unafunguaje akaunti ya aina hiyo kwa kipindi hiki ambapo karibia kila kitu kinataka namba ya nida?
Watanzania wajinga ni wengi sana, hivyo usishangae
 
Back
Top Bottom