Haya mambo ya safe ndani haya nikujipalilia kifo mapema kwakweli...
Hapo utawindwa na mwenzi wako hadi mpatie namba za siri vinginevyo yeye ndio anaweza kuwa ndio chanzo cha kuleta majambazi wa mchongo yote hiyo wachukue mitipula iliyo ndani ya hilo safe...