Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

Kumbe wa 2008?
Aisee 🫡 kwako.
We Cavill njoo uone wanaume wanaongea huku
 
mimi sina upweke wala upwiro, nashukuru JF imenipa mke mwema sana
 
hahahahaa ukajua wa juzi? hapana Dear, 2008 ulikua wapi?
Nikajua wa 202's
2008 nilikuwa Dubai nakata viuno kwa waarabu.
Maisha haya, tumetoka mbali sana
Labda nipewe na mke wa spare, nimekaa JF sijawahi kupata mtu
Jamani wanawake wa humu makatili sana.
Pamoja na nyota mbili ulizonazo za Verified na Platinum bado hawajakuona?
Usijali mimi nipo. Ila napenda sana pesa dear🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…