Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

WEWE NI CHAMPION WA JF. Hili bandiko ni la kusambaza Tanzania nzima, kuanzia makanisani, misikitini, mashuleni, vyuoni, nk.
 
Watumishi wa umma wanalipwa mishahara midogo nchini.
 
Wewe ambaye u aoonda waTZ kwamba ni wajinga, malofa na wapole.

Wewe ndio Mpumbavu, bwege na mbinafsi.
Wewe ambaye unasema WaTZ ni wapole, masikini, wajinga na malofa wewe ndiye:

Mpumbavu, mjinga, hujielewi na mbinafsi.

Serikali ina upungufu wa man power.

Watu hawatoshi.

Watu 10 kwenye vituo vya afya na zahanati wanafanya kazi za watu 200.

Mtu anafanya kazi masaa 24 bila kwenda nyumbani, na bila malipo ya ziada.

Watu wanatumia oesa zao kufanya kazi za serikali ila wewe kiazi ***** huoni mchango wao, unataka wewe shida yako itatuliwe. Moronic bush lawyer.

Wewe ni nyumbu
 
Wewe akili zako ndogo sana. Unatumiaje pesa zako za mfukoni kufanya kazi za serikali? Afu bado hujioni wewe ni mpumbavu?
 
Wewe akili zako ndogo sana. Unatumiaje pesa zako za mfukoni kufanya kazi za serikali? Afu bado hujioni wewe ni mpumbavu?

Huyo huoni hata jina lake lilivyo

Ni wale watu niliokuwa nawazungumzia.
Maskini wa fikra na Mali, alafu Mjinga WA akili na uoni.

Muulize Waziri au Mbunge au viongozi wake Wana Mawazo mgando kama yake ya kujitolea alafu wasipate hata sumni?
 
Ukweli mchungu mnoo...watanzania ni wajingaaa...Kivule hakuna barabara ya lami yaani kuishi huku ni mateso mnooo ila ndo mabingwa wa kusifu na kuabudu
Hayo maeneo ni ya kuishi ngedere wewe unaendaje kuishi huko halafu unalaumu serikali .Maeneo mazuri huyaoni?
 
Hayo maeneo ni ya kuishi ngedere wewe unaendaje kuishi huko halafu unalaumu serikali .Maeneo mazuri huyaoni?

😂😂😂

Aiseeh! Mkuu mbona Akili yako ni ndogo Sana hivi? Au wewe mwenyewe hujui Sababu?

Hivi unajua anayehusika na Masuala ya Makazi ya watu ni Serikali?

Alafu unauliza swalila kijinga ukidhani ni lenye Akili.

Hujui serikali ndio inatoa kibali cha Makazi ya watu ?

Ukiona watu wanaanzisha Makazi sehemu zisizo rafiki hujui serikali ndio imeruhusu Jambo hilo? Au kama haijaruhusu ni kwamba haiwajibiki ipasavyo. Hilo hujaliona
 
Umemalza kila kitu kaka. Ila kuhusu watawala ndio shangwe kwao wanapenda sana watu wajinga na malofa kwasababu ni Rahisi kuwatawala kuliko elite people.

We huoni ccm wafuasi wake wengi ni mbumbunbu na ndio kipindi cha uchaguzi wanawahonga vipande vya kanga tyu wamemaliza kila kitu huwambii kitu kuhusu chama cha kijani???

Ulofa pia ni mtaji kwa wengine so usitegemee kuwa watawala wataweka juhudi kuuondoa ili nchi iwe na huo usalama unaosema Big Nooo.
 
Ahahahahaha! Kwahiyo kumfukuza Mkuu wa Majeshi ni MAGA? Kuwanyima haki za kupata National Security Briefings watu wenye haki hiyo kikatiba ni MAGA? Basi nimekuelewa Mkuu!!
Trump kufukuza wakuu wa majeshi au kuwanyima wakina Biden national security briefings kunawagusa na kuwaathiri vipi raia wa kawaida?
 
Kulijua tatizo ni Moja ya hatua muhimu sana za kulitatua.M Mungu akuweke hai milele...utakufa mwili wako tu lkn hakika wewe utaishi muda mrefu sana!
 
We ukitaka ujue watz tuna matatizo usiende mbali angalia tu aina ya viongozi (waheshimiwa??) wanaotuongoza kuanzia wateule hadi wakuchaguliwa!
Wengi ni wajinga ajabu, ni reflection ya akili za watz zilivyo.
Bungeni wanakotutungia sheria eti na kuisimamia serikali kumejaa waj.inga ajabu!!
 
Tunapaswa tuangalie mbele. Na ili tuone mbele na kufika lazima tuwe wamoja. Tuwe taifa Moja
Uko sahihi mno mno. Ndiyo maana mtanzania huyo huyo akipata fedha anakuwa na tabia tofauti kabisa. Ujinga ni mzigo mkubwa kwa taifa letu. Nathubutu kusema kwamba ekimu yetu ime-fail kuondoa ujinga.
 
Umeongea Mambo ya msingi Mtibeli.
Binafsi nashangazwa na utendaji kazi wa wizara hii kazi na ajira. Hebu fikiria wangekuwa wafatiliaji wa mambo na kusimama Sheria za kazi, watanzania wasingefanywa watumwa ndani ya nchi yao ujira usioendana na elimu na kazi zao.

Pia, serikali inapoteza mapato ya kodi (PAYE) kutokana na watu kunyonywa Kwa kulipwa malipo duni, huku wenye taasisi au makampuni husika wazidi kuneemeka Kwa utajiri uliotokana na unyonyaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…