Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
We unafikiri Magu yuko kixeng xenge pale. Ha ha my friend wanasiasa wana kamati za Ulinzi mpaka katika ulimwengu usioonekana, chukulia mfano ile mambo ilimkutaga kusini kipindi ile bila kuwa imara unafikiri ingetokea nini?...Watu wapo vizuri mno!Unadhani maadui wa maguful tundu Lissu wanafurahi kuwaona wazima
Jaribu kumloga Lissu watu mpk wametumia risasi kwanini wasitumie uchawi kumuua au watu wasiompenda magufuli kwanini wasitumie uchawi kumuua
Kwanini uchawi hauna nguvu kiasi hiko na hiyo nguvu ya uchawi ipo katika gani
Njia rahisi ya mtu ambaye haamini uchawi ni kujiingiza kwenye siasa kwa ku compete na nguli nakupa mmoja tu wa fasta. Nenda kagombee jimbo la Christopher Mulugo Songwe huko...