Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Unadhani maadui wa maguful tundu Lissu wanafurahi kuwaona wazima
Jaribu kumloga Lissu watu mpk wametumia risasi kwanini wasitumie uchawi kumuua au watu wasiompenda magufuli kwanini wasitumie uchawi kumuua
Kwanini uchawi hauna nguvu kiasi hiko na hiyo nguvu ya uchawi ipo katika gani
We unafikiri Magu yuko kixeng xenge pale. Ha ha my friend wanasiasa wana kamati za Ulinzi mpaka katika ulimwengu usioonekana, chukulia mfano ile mambo ilimkutaga kusini kipindi ile bila kuwa imara unafikiri ingetokea nini?...Watu wapo vizuri mno!

Njia rahisi ya mtu ambaye haamini uchawi ni kujiingiza kwenye siasa kwa ku compete na nguli nakupa mmoja tu wa fasta. Nenda kagombee jimbo la Christopher Mulugo Songwe huko...
 
inawezekana na wewe ni mchawi tena mchawi wa kiume maana si kwa kuhaha huku kuwatetea wachawi wenzio
au laa wewe ni wa kupuuza maana ni mtu mzima lakini bado hujajitambua au unapenda sifa tu ili uonekane na wewe unajua kuhoji

all in all, hauna akili mkuu
Mmeanza kukizana wenyewe.

Uchawi ni nini?
Mchawi ni nani?

Unakwepa sana hayo maswali mawili, au umeleta mada ya jambo usilolijua.
 
Maombi yashapigwa sana yani
Huyo atakuwa labda asset kwao ndiyo maana nguvu za giza zinamng'ang'ana. Fuatilieni background au mapito yake. Wengine wamemezeshwa au kuvishwa vitu vya kishirikina, vikiondolewa tu, yale mashetani yanakimbia yenyewe. Lazima kuna kitu wameshikilia kwa huyo, na mara nyingi hao wahanga/waathrika huwa wanajua sana tu tatizo lao, ila siyo rahisi kusema kwa sababu ni nguvu mbili zinavutana. On top of that, maombi ni LAZIMA KABISA!
 
Maombi yanaendelea ila bado hajafunguliwa gerezani
 
True. Na wanaweza kufanikiwa utajiri au nafasi, vyeo, lakini cha moto lazima watapata -- and in many different ways.
Samahani lakini, binafsi siamini kiongozi yeyote serikalini kwani siamini kama kuna kiongozi asiyeroga serikalini tena wale watu ni hatari sana.
 
Sidhani umewaza kwa kina aisee! Ukisema uchawi hauna nguvu, kila mtu atakucheka, na ndicho anachotaka Iblisi uamini kwamba Shetani hayupo, au hana nguvu. Make no mistake about it. Kuna nguvu ya Mungu, ipo nguvu ya giza, likewise!!!
Labda nikuulize swali je nguvu ya uchawi ipo wapi
 
mzee wangu aliangushwa kwenye jukwaa la siasa, ilibidi tumuwahi, akafanyiwa Dua ndio akatengemaa, la sivyo familia tungekuwa tunaongea mengine hadi sasa
Unajuaje kama uchawi je kama alipata Shock au Hypertension au Anxiety ikapeleka kudondoka
Wewe ulijuaje kama uchawi huo?
 
We unafikiri Magu yuko kixeng xenge pale. Ha ha my friend wanasiasa wana kamati za Ulinzi mpaka katika ulimwengu usioonekana, chukulia mfano ile mambo ilimkutaga kusini kipindi ile bila kuwa imara unafikiri ingetokea nini?...Watu wapo vizuri mno!

Njia rahisi ya mtu ambaye haamini uchawi ni kujiingiza kwenye siasa kwa ku compete na nguli nakupa mmoja tu wa fasta. Nenda kagombee jimbo la Christopher Mulugo Songwe huko...
Kama uchawi unashindwa kuroga mtu basi uchawi hauna nguvu
Tofauti na risasi mtu akikutwanga kupona bahati
Sasa huo uchawi mnaougopa nguvu yake ipo wapi
 
Unajuaje kama uchawi je kama alipata Shock au Hypertension au Anxiety ikapeleka kudondoka
Wewe ulijuaje kama uchawi huo?
Ni possible pia kuwa hivyo, lakini haiondoi ukweli kwamba ndumba siyo hekaya za Abunuwasi. Ni halisi kabisa na alive! Wala haihitaji hata kutetewa!
 
Kwenye kila nyanja ya maisha, Shetani anafanya mambo yake -- kumbuka agents zake ni hawahawa wanadamu unaochati nao. Everywhere kuna traces za Iblisi.
Wewe unasema uchawi upo mm nakuambia hakuna that's why nikakuambia kama uchawi upo nyinyi mnajuaje kama huu ni uchawi au huo uchawi una nguvu gani?
 
Ni possible, lakini haiondoi ukweli kwamba ndumba siyo hekaya za Abunuwasi. Ni halisi kabisa na alive! Wala haihitaji hata kutetewa!
Nguvu ya risasi tunajua ukipigwa risasi ukipona bahati au nguvu ya AIDS tunaijua ukipata AIDS kama usipotumia dawa tunakuzika mapema
Swali huo uchawi nguvu yake ipo wapi?
 
Back
Top Bottom