Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Wazee ndio michongo yao hiyo hata ile ya kuvamia mtu akiwa katoka kutoa pesa bank ni michongo ya wazee na mateller wanaotaka kutembelea harrier tako la nyani huku wakijenga mansion makongo juu
Hizo mansheni za makongo niza ujanja ujanja?
 
Wakiingia ATM tu unao Bro, pole sana pia. Vipi simu kwanini usijaribu kui track kama bado ipo on itakusaidia, fanya kui search.

Ubaya wa ushauri unaweza kuta hata mwizi wako yupo JF anafuatilia uzi, akachukua tahadhari.

Pole sana Mkuu.

Aende bank akafatilie... Inaweza kuwa njia nzuri ya kuanzia...

Kama waliingia ATM kutoa hela kuna footage zinaweza patikana.
 
Mkuu nimekupenda kwa jibu murua. Safi Sana. Mikenge mwingine haijui jinsi MTU unapigana kupata Mali halafu mafala wanajichukulia. Mtu anayejua uchungu wa Mali hawezi kujibu hivyo. Wanaojibu hovyo hata baskeli hawana. Na roho zao mbaya hawatakaa wapate. Yaani binafsi nimepata ganzi maana vigari vyangu hapa MTU akiniibia hata Moja ni hasara katika assets zangu. Hivyo financial statements zangu zitayumba. Yaani mijitu mwingine hovyo Sana Mkuu. Ni kuyapiga nyundo za majibu fresh kama ya kwako. Nimeipenda hiyo.
 
Huyo mala...ya wa lumumba anamiliki papa tu,ujambazi ulikuepo sema media zilikua kimya kusema
 
Acha ujinga. Wakati wa msiba hawa ndio walikuwa wanashangilia. Mbona hukupanua hilo como kukemea. Leo aiibiwe kibaby walker chake mbjifanyi kumhurumia
Una roho ya kimaskini sasa dogo! Kwahio ulitaka tumshangilie kila MTU? Acha wendawazimu, acha wivu wa kijinga! Kushangilia Kubali uhusiano gani na kuibiwa? Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…