Mara nyingine michongo huanzia show room uliyonunuliaDuh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....
Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.
Ufunguo uliweka wapi?!
Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!
Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
Unaambiwa wamekuja kunyang'anya kwa silaha so it means majambazi wa kutumia nguvu, hapo hata kama ufunguo upo ndani si wanauchukua.....?!Pole ndugu, ila maswali yangu ni
1.Ufunguo walipatia wapi?
2.uliliweka sehemu gani?
Unajua bei ya hii gari au umeamua tu kuja kuongea hapa?!Hiyo yenyewe iliyoibiwa inazidiwa bei na Corolla. Sijipe moyo
Ila hayo majizi kuyakamata ni rahisi sana. Sababu mwizi unachukuaje kadi ya ATM [emoji763] kitu ambacho tayari ni kama kujiweka tag mgongoni?!Walinifunga kamba wakaniuliza ufunguo ulipo, s imu, kad I za banki namba za siri bunduki ikiwa kichwani
Kwann usimpigie mhanga wa tukio na kumpa msaada pengine msaada wako unaweza kukupatia fursa nzuri zaidi ya hiyo laki 2.Mzee hiyo ni mbinu ya kitaalamu sio uchawi na itanikost mda sanaa anyway hiyo hela ni kwa ajili ya bando tu kwani lazima ni dowload file la mistubishi pajero then ni tress chases namba magari mengi yanakuwa na direct signal ambayo inakuwa imefichwa kwenye chases no. Za mistubishi zote made kuanzia elfu 2000 kuja juu. Ila anaona ni usumbufu anaweza omba police wamsidie nilikuwa najitolea tu.
Haya majitu sio ya kucheka nayo hata kidogo. Ni wakuwatokomeza. Miili yao itumike kufanyia tafiti za chanjo ya corona.Polisi mkishakamata hawa wahusika na kumaliza kazi yenu....pigeni risasi woote na miili yao funga mawe kawapatie samaki msosi dip sea huko wajenge afya.... Mahakama acha zifanye kazi nyingine kuliko kupoteza muda na wajinga hawa...
Muda mwingine fanya kujitolea tu huwezi jua utalipwa vikubwa kuliko matarajio....... JitoleeSi mpaka aombe mwenyewe mzee nikimfuata ataona nataka kumpiga mzee cha msenge aende pale DIT kuna vijana wanasomea automobile watamsadia mimi itanipotezea tu mda na hela hatonipa aombe wasiwe wameshaikatakata vipande.
Kwann usifanye hivyo bro wao walipie gharama... Kama tu una uhakika hiyo kitu yako inawezekana kufanyikaTulia kijana labda kama wataharibu mfumo wa umeme kwenye gari .mimi hata kama wataharibu yani ikiwashwa tu redio ya gari wamekwisha nakwambia gari ilipo.ila inacost mda na pesa unaweza kaa sehemu moja masaa sita unasubiri alarm tu ilie.
Ndio maana kuna mahakama.Halafu wakikamatwa na kuuawa Kuna watetezi wa haki za binadamu wanaanza kuleta ujinga
Tatizo nikuwa hii mbinu ishakuwa hadharani kwa muda sasa, pengine washajua hata kupiga jumper wakikutana na hiyo hali, tafuta nyingine kibingwa, itumie kimya kimya, mpaka ijulikane, pengine miaka 8 umekaa kwa amani kidogo ya kuwa wataweza kubeba vitu wakakuachia skeleton.Hebu mkuu nielekeze hii kitu[emoji848]
Kwa hiyo ulitaka aseme ''wanaosadikiwa kuwa majambazi''hadi itakapothibitika kuwa ni majambazi?
Swali gani hili? Unatia mashaka mkuu.
Huyu jamaa kama siyo mhusika basi ubongo wake umeyumba sanaKwake yeye ni gari,JF kila mtu ni tajiri
Pole sana kiongozi. Kuna watu kazi yao ni kurudisha maendeleo ya wenzao nyuma. Umejipanga kununua gari ikusaidie kwa usafiri, na mtu au watu wengine wao wanaona haikufai, bali inawafaa wao.Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715
Kama hakupiga picha je? Watu bwana utafikiri bidhaa inauzwa[emoji23]. Weka pichaa[emoji23]. Siyo kila mtu anatabia ya kupiga piga picha ya gari lake.