Wazee ni akina nani?Nimeshawahi kuibiwa gari najua machungu yake. Nilifuatilia sana nilitumia pesa mpk ningeweza kununua hata gari nyingine ndogo na nilichemsha. Mpaka leo sijaipata ila nilifanikiwa sanq kuuelewa mfumo wa wezi wa magari na ushirika wao na wazee
Pole ndugu, tutashirikiana kwa hili wakipita anga zetu, na wanaosema watu kama hawa tuwapeleke polisi hawajuwi uchungu wa alieumizwa…Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
View attachment 1999715View attachment 2000213
Mkuu unaweza kutuelezea mkasa mzima ulivyoanza?Funguo niliwapa mwenyewe walitaka kunipiga risasi baada ya kukosa hela waliiba vitu vingine vingi wakatumia gari kama gateaway
Kama ni gari ndogo ndogo tunaweka begani tunaondoka nayo [emoji1].Pole sana ndo maana mm nikipak lazma nizime swichi ya waya ya pump ya mafuta ili hata ukiwasha utawasha adi ufe haliwaki
Ili mwizi aondoke nalo inabidi aliwashe betri ikiwapo. Immobilizer is the way to go. Halafu nadhani hata ukiondoa betri, linaweza kua tracked Mpaka eneo betri ilipoondolewa (correct me if I am wrong)GPS nyingi gari ikishatolewa battery ndio basi....
Ilikuwa mida gani?Funguo niliwapa mwenyewe walitaka kunipiga risasi baada ya kukosa hela waliiba vitu vingine vingi wakatumia gari kama gateaway
Immobilizer za after market? Ni very expensive na very complexIli mwizi aondoke nalo inabidi aliwashe betri ikiwapo. Immobilizer is the way to go. Halafu nadhani hata ukiondoa betri, linaweza kua tracked Mpaka eneo betri ilipoondolewa (correct me if I am wrong)
Acha majigambo ndugu yangu ,mpaji Ni Mungu.Mimi nimepoteza FunCargo yangu inaniuma balaa.Kwani hiyo pajero io ni garu ya maana basi ,ni kadude tu mithili ya vits sema kapo juu juu,mm iwe bojo
Ni simple sana hiyo wiring, hata wewe mwenyewe unafanya !Mm sio mtaalam wa magari,naona umbie hii swichi ipo wapi?
Au umefanya modifications gari yako?
Naomba utusaidie na sie wengine tujue
Ahaaa pole ni uzembe huo unananua fun cargi let say milioni sita kufunga gos laki moja na nusu unashindwa?gps ni guarantee kupata gari yako kuliko hiyo comprehensive insuranceAcha majigambo ndugu yangu ,mpaji Ni Mungu.Mimi nimepoteza FunCargo yangu inaniuma balaa.
Ni sawa mkuu lakini haifai kudharau kile ambacho mtu anamiliki maana huo ndo uwezo wake.Uzembo kila mtu hufanya maana huwezi jua ya baadaye.Ahaaa pole ni uzembe huo unananua fun cargi let say milioni sita kufunga gos laki moja na nusu unashindwa?gps ni guarantee kupata gari yako kuliko hiyo comprehensive insurance
Mkuu kuna mambo mengine umetaja hapo haya apply kibongo bongo.Ilikuwa mida gani?
Siri ya kuwakamata majambazi au Mali zako ni wewe Kwa kusaidiwa na Polisi au hata mwenyewe kuweza kuichora ramani mzima ya tukio.
1. Walitumia usafiri gani kufika kwako(most likely pikipiki). Na waliingiaje ndani.
2. Walikuwa wangapi.
3. Walikubananisha vipi. Eleza tukio zima. Eleza angalau bastola ilikuwa ya rangi gani na ukubwa au shape ya silaha. Kama unajua model sema.
4. Pia ukiwaeleza Polisi, andika kiasi kikubwa cha fedha ulizoibiwa. Hii itasambaratisha kundi hasa kwenye mgao. Itasaidia snitching kama utaahidi zawadi.
5. Ulifanya transaction yeyote kubwa hivi karibuni? Ilimhusisha nani na nani?
Kuna makundi ya ujambazi yanayojulikana na Polisi. Haya makundi hufuatiliwa up to two years. Hutumia mbinu na silaha zilezile. Silaha nyingine ni za serikali. Ni vizuri kuelezea methodology yao, sauti zao, silaha, uharaka wao, ukatili wao etc...
Polisi watajua ni kundi gani na linatokea wapi.
Wala sijadharau namfariji tu tukisikitika wote humu ataanza kulia bureNi sawa mkuu lakini haifai kudharau kile ambacho mtu anamiliki maana huo ndo uwezo wake.Uzembo kila mtu hufanya maana huwezi jua ya baadaye.
Ili mwizi aondoke nalo inabidi aliwashe betri ikiwapo. Immobilizer is the way to go. Halafu nadhani hata ukiondoa betri, linaweza kua tracked Mpaka eneo betri ilipoondolewa (correct me if I am wrong)
Tumia akili.Ilikuwa mida gani?
Siri ya kuwakamata majambazi au Mali zako ni wewe Kwa kusaidiwa na Polisi au hata mwenyewe kuweza kuichora ramani mzima ya tukio.
1. Walitumia usafiri gani kufika kwako(most likely pikipiki). Na waliingiaje ndani.
2. Walikuwa wangapi.
3. Walikubananisha vipi. Eleza tukio zima. Eleza angalau bastola ilikuwa ya rangi gani na ukubwa au shape ya silaha. Kama unajua model sema.
4. Pia ukiwaeleza Polisi, andika kiasi kikubwa cha fedha ulizoibiwa. Hii itasambaratisha kundi hasa kwenye mgao. Itasaidia snitching kama utaahidi zawadi.
5. Ulifanya transaction yeyote kubwa hivi karibuni? Ilimhusisha nani na nani?
Kuna makundi ya ujambazi yanayojulikana na Polisi. Haya makundi hufuatiliwa up to two years. Hutumia mbinu na silaha zilezile. Silaha nyingine ni za serikali. Ni vizuri kuelezea methodology yao, sauti zao, silaha, uharaka wao, ukatili wao etc...
Polisi watajua ni kundi gani na linatokea wapi.
Yeye hajaibiwa. Ameporwa huku anaona.Mimi niliibiwa simu nikaweuka sembuse gari, sijui sasa hivi utakuwa na hali gani? Polee.
Nenda kijiwe kilichopo karibu na wewe ongea private na watu wanao kaa pale watakupa connection.
Majuzi niliibiwa vifaa vya ofisi connection nilipewa na watu ambao sikuamini, nilivikamata viko police, hapo ni baada ya mwezi.
Polee sana