Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Hakuna kitu kinaumiza pia kama kupoteza ama kutibiwa simu.
 
Haahaahaa...akaacha na ujeuri?
 
nilichukulie vyovyote vile uwezavyo, i don't care. nasisitiza hii ni chai.

kama sio chai kwanini picha ipo pixelated (number plate haionekani)?.

kwanini ameshindwa ku provide two or three pictures of his care taken from different angles?.

unataka kuniambia kwa mda wote ambao amekuwa anamiliki hilo gari, alibahatika kupiga picha moja tu?. i can't buy it?.

wabongo tunajuana, gari is one of a prestige item for someone who owns it, mara nyingi tunapiga nayo picha. mimi k-vitz changu nishakipiga picha sana, picha zake zimejaa kwenye gallery yangu na nyingine zipo katika kurasa zangu za mitandao ya kijamii.

mwambie huyo jamaa yako asituchulie sisi watoto.
 

Kasema simu zote zimeibiwa ba hiyo picha katolea kwa tablet ya mtoto wake
 
Waameanza kuiba mpaka Mitsubish Pajero?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…