Mungu fundi mwaisa ingawa ni majonzi pole yake sana.Kama hao kuku ungekua umempa mtu mwingine asimamie alafu ukarudi akaanza kukusumulia kuwa ameibiwa kwa hii staili unayoelezea usingekubali ungemtuhumu kaiba yeye
Polisi hakuna msaadaNenda polisi
Basi unawapata kwa hizo picha unawapata chap..Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Hebu nenda inbox ila mwa.bie huna hela na usitoe pesa kabisa ya huyo ManyanzaNimepost video ya hao wezi
HakikaKama sio ndoto hiyo basi maelezo yana utata!
Nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukufanyia vitu vyangu wapate kukurudishia kuku wako hao mababa5 walio kuchukulia kuku wako kwa nguvu .Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Pisi kali ione hiiHatoi hata hela aiseee
Wameshakufa na hawatafufuka. Bwana asifiwe.Tuwalaani kwa jina la Bwana.
Wafe wote
uzembe wako uekulpaNi leo au tuseme jana asubuhi
yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60
Tunaluja kuzinduka usiku huu kuku hawapo 300