Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Sasa Kwa customers care kama ya Vodacom si ndio balaa zaidi

Mpaka uwapate na wapokee simu yako mwizi ashatoa kila kitu
 
Nimegundua sina simu baada ya saa moja. Ninachouliza hapa ni mwizi amewezaje kutoa pesa????
Mkuu kubadilishwa namba ya Siri kama mtu anajua details zako za nida ni dk moja kwa tigo. Details zako za nida zinafaa kuwa siri. Ukipeteza sim kimbia haraka kuswap line on the sport. Technologies inakuwa uwizi wa mtandao unashika kasi sana huku siku hizi ni kwa kuweka pesa ya voçha na dharura tu ila sio pa kuhifadhi pesa tena usalama ni mdogo sana na hawana msaada kabisa
 
Shukrani kwa mchango wako. Wacha nirudi kwenye traditional banking tu. Nimepata hasara but Tigo nust compensate . SIwezi kuwaacha hivihivi.
 
Tigo kampuni ya wahuni..
 
Ukichukua line mpya kwenye kadi unakuta PIN na PUK.

Kisha utaset up PIN ya line yako.

Si unalijua hili?
 
Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Bado itahitaji huyo mtu akujue vizuri maana kuna maswali hua yanaulizwa pale unless tigo wanakua involved 100% kwenye hili
 
Huyo mwizi ana connection na watu wa kwenye mitandao na ndiyo wamempa pwd akatoa pesa...si rahisi hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa mtu aguess mara tatu ikubali ,inayoweza kuguess pssword ni BOT tu linaweza likatuma request hata 1000 in few seconds.
 
Asante. Basi security ya hii mitandao ni very fragile. Natumia sana cyptocurencies ila mtu kufanya cracking ya pass phrase hata quantum computer inayofanya millions of calculations per second haiwezi.
 
Sure ,kuguess password ni ngumu sana hasa hizi zenye 3 attempts hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa ,hata mimi nikikwambia nimezaliwa kati ya mwaka 1952 hadi 1970 kuguess mara tatu hautoboi....Kuna loophole za ma agent/customer care na wezi kushirikiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…