Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

Hivi unampaje mtu simu yako akague gallery uduanzi mwingine huo,sina cha kukushauri wewe na jamaa yako wote washamba sana..
Mtu kaomba simu, nimempa aangalie program fulani huwa naitumia. Kaenda kwenye gallery pasipo mie kujua. Hapo kosa langu lipi
 
We nae ndezi tu,yaani mpaka mnafikia huko ulikuwa unawaza nini,yaani unashindwa kubadili gia angani
We sio baharia hata nusu,mabaharia ninao wajua huyo rafiki yako asingejua chochote alafu wewe ungepiga chini uendelee na mishe zako.
Kwa hiyo ulijua uko peke yako?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa umeshaliwa vya kutosha. Hadi umejua mabaharia wakoje? Anywaay, hongera kwa kutokubakiza bikra hata moja
 
Kwa hiyo jamaa analia kabisa kwa watoto wa kisingida?

Daah aisee ndo mana bandari imeuzwa kumbe
 
Binti anamiliki wanaume wawili bado unamlilia ? Tena hapo hujachunguza huenda mko wengi huyo ni mgawa mbususu achana naye hata ukioa ataliwa tu
 
Sio poa aisee.. chozi kabisa
Hapo mwamba kawaza mengi...uwezi jua labda demu anampa marinda sasa nawaza dah na huyu nae anapwewa .
Alafu kuna ile ilichomoka alafu demu kairudisha mwenyewe kwenye mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…