Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Jamaa nae akajiamini Sana.mtu unampa simu anakagua gallery yako[emoji23][emoji23][emoji23] au unamwonyesha picha moja anaaza kuscroll na nyingine[emoji20][emoji20]
wenye izo tabia muache sio nzuri
Kuna mwanaume gani anameoa mwanamke ambaye hatombwi nje?Binti anamiliki wanaume wawili bado unamlilia ? Tena hapo hujachunguza huenda mko wengi huyo ni mgawa mbususu achana naye hata ukioa ataliwa tu
Mimi naona ni bora ajue sababu ya wewe kuvunja nae uhusiano kwa nini unataka asijue?Shukrani mkuu. Ila unadhani ni mbinu gani nzuri ya kuitumia ili asijue sababu ni hili lililotokea?
Wapo mkuuKuna mwanaume gani anameoa mwanamke ambaye hatombwi nje?
Kaaaahh...[emoji1]Wote endeleeni kukaa humohumo ila kimyakimya, badilisheni malengo mliyokua nayo juu yake ila msimiache wala kumwambia.
Kumwambia hizo ni habari za kusutana na za kike. Nendeni naye hivyo huku akiamini hamjui kitu, yaani awe demu wenu wote
Huyu jamaa akiambiwa na mkewe siwezi kupumua bila ya wewe itakuwa wazi hamaanishi kwa tafsida ya kimapenzi itakuwa anamaanisha kimantiki kabisa.
Ah wapi huko ni kujifariji tuu hamnaWapo mkuu
Tulia mkuu. Unaanza kumchukia wakati Wazazi wake walifurahi kuzaaHuyu jamaa akiambiwa na mkewe siwezi kupumua bila ya wewe itakuwa wazi hamaanishi kwa tafsida ya kimapenzi itakuwa anamaanisha kimantiki kabisa.
Hii njemba ingekuwepo kwenye submarine iliyibutuka wangekufa mapema kabisa maana kwa pua hiyo hakika pumzi yake moja ni kama za pumzi za watu watano kwa pamoja.
Nampa misifa yake, simchukii.Tulia mkuu. Unaanza kumchukia wakati Wazazi wake walifurahi kuzaa
Waswahili Husema Mapenzi Ni kama Swimming poolKila mmoja anywe maziwa kwa wakati wake,mniunge na Mimi kwenye list
Mapenzi ni sawa na siti ya daladala usiinuse ukitaka kuikaliaWaswahili Husema Mapenzi Ni kama Swimming pool
Ukiwa Unaogelea Usitake Kujua Ni nani aliogelea Kabla yako,Ni nani unaogelea Nae Na nani ataogelea Baada yako we Hakikisha tu wakati unaogelea Unaenjoy
Hivi wanyaturu ni wawapi?singida?Nilitaka kushangaa tangu lini wanyaturu wakatulia, kuna mnyaturu tulipiga washikaji 9 darasa moja, hapo bado mtaani kwao, lecturer n.k.
Wanyaturu,warangi,na wanyiramba huwa hawatongozwi mkuu.Mkuu huyo binti tangu nimtongoze rasmi na kuanza nae mahusiano ni wiki moja. Nimefikia hatua ya kumpenda kupindukia. Hata hivyo hisia hazibebwi na maandishi.
Vipi vya kawaida mbona ata sie wanaume tunawapanga wanawake. Tit for tat[emoji23][emoji23]kwahiyo mnapagawa na kupangwa hivyo ....ila si mbaya huyo mke wenu ukute kuna mwenzenu msiyemjua yupo kwa foleni pia