Nimeipenda hii kutoka X. Watanganyika tukitafakari, kila mmoja kwa dhamira yake

Nimeipenda hii kutoka X. Watanganyika tukitafakari, kila mmoja kwa dhamira yake

Masheitwani mtakuja na Kila aina ya ushetani lakini naapa kwa Mungu mtashindwa km mlivyoshindwa mara zote.
 
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
We have reached the point of no return let we asks God to do the rest dear brothers and sisters the only powerful prayer to opt is the Rosary of Fatma


St.John Paul II pray for us St.Marry the Queen of our Land pray for us~~~AMEN
 
Mabeyo alifata katiba ilivyotaka, lakini kama wananchi wenyewe wakigoma kupelekeshwa hakuna yeyote wa kuwazuia..!!
Kwa nini waTanzania hawataki kulielewa hili; hapo ndipo penye siri kubwa.

Tena basi haihitaji milioni 60 wote walielewe. Nchi hii kweli inakosa watu milioni tano tu wanaoweza kubadili kila kitu sasa hivi?
 
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao,
Maneno ya namna hii yanavuruga sana akili.

Hivi kweli ni wazanzibar (wengi) wanaokubaliana na anayofanya Samia?

Kama Tanganyika wapo "watakaoulizwa na wajukuu zao", huko Zanzibar kweli hakuna wasiokubaliana na Samia; hata kama ni wachache; kwa nini tuwarundike wote katika kundi moja.
Mbona hao waTanganyika tumebainisha hilo kundi linaloshiriki uovu wa Samia?
 
Nina furahi sana Mada za Tanganyika zinavoshika kazi... Hatua inayofuata ni Watanganyika tuunde Bendera zetu
 
Kwa yale mauaji mliyoyafanya Oktoba 29, nawaambia mtalaaniwa na vizazi vyenu. Endeleeni kuulinda uovu, halafu muone kama mtasalimika na adhabu ya Mungu.
On contrary, Mungu ataturehemu sana sababu tulifanikiwa kulinda Mali, maisha na heshima za watu ambazo zilikuwa njiani kuporwa na wale waharifu washenzi walioandaliwa na chadema na kitima & co.

Vizazi vyao vitalaanika na kupigwa bumbuazi kutokana na Nia yao ovu kama ile.
 
Back
Top Bottom