Nimeipenda hii kutoka X. Watanganyika tukitafakari, kila mmoja kwa dhamira yake

Maneno ya namna hii yanavuruga sana akili.

Hivi kweli ni wazanzibar (wengi) wanaokubaliana na anayofanya Samia?

Kama Tanganyika wapo "watakaoulizwa na wajukuu zao", huko Zanzibar kweli hakuna wasiokubaliana na Samia; hata kama ni wachache; kwa nini tuwarundike wote katika kundi moja.
Mbona hao waTanganyika tumebainisha hilo kundi linaloshiriki uovu wa Samia?
Nina Imani wazanzibari wote wanamuinamia Samia mwenzao. Kuna asili za watu....huwezi kuzibadiri kirahisi! Ndiyo maana Wakurya ni wagomvi by genetical make up, si rahisi kuwabadiri. Same na wazanzibari!
 
Ni KWELI wazinzibari wengi wako na Samia, mie naishi na wapemba huku msasani + waunguja wako hivyo
 
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
Hapo ndipo utakapo jua kuwa watanganyika tunalogwa na mwenge ni hatujitambui haswaa we tqzama wabunge bungeni wanacho ongea ,sijui labda niulize zanzibar mwenge huwa unaenda?
 
Kwa nini waTanzania hawataki kulielewa hili; hapo ndipo penye siri kubwa.

Tena basi haihitaji milioni 60 wote walielewe. Nchi hii kweli inakosa watu milioni tano tu wanaoweza kubadili kila kitu sasa hivi?
Watanzania sisi hatuna uchungu na nchi yetu ila tuna uchungu na majirani zetu wanaotuzunguka..!!

Mtanzania yupo tayari kumripoti mtanzania mwenzie polisi kwa wizi wa kuku lakini sio mafisadi wauza rasilimali za nchi..!!
 
Nina Imani wazanzibari wote wanamuinamia Samia mwenzao. Kuna asili za watu....huwezi kuzibadiri kirahisi! Ndiyo maana Wakurya ni wagomvi by genetical make up, si rahisi kuwabadiri. Same na wazanzibari!
Wacha.
Unaingia kwenye maswala usiyoyajuwa kabisa na huo mfano wako wa wakurya na 'genetics' ya ugomvi.
Kuna mahali popote ulipopata taarifa ya namna hiyo iliyotolewa kisayansi kwa kuchambua 'genetics' za kabila hilo?
Basi nikwambie kwa uhakika kabisa, hakuna kitu kama hicho.

Huko kuamini kwako kuwa waZanzibar wote wanakubaliana na Samia kwa vile ni wazanzibari, ni mwendelezo wa upotofu huo huo.

WaTanganyika wasiokubaliana na Samia kama wewe, wote 'genes' zenu zimeundwa hivyo, sasa mbona hujawasema hao waTanganyika wachache walio upande wake; nao 'genes' zao ni sawa na zile za wazanzibari?

Fikra za namna hii hazitufikishi popote.
 
Watanzania sisi hatuna uchungu na nchi yetu ila tuna uchungu na majirani zetu wanaotuzunguka..!!

Mtanzania yupo tayari kumripoti mtanzania mwenzie polisi kwa wizi wa kuku lakini sio mafisadi wauza rasilimali za nchi..!!
Unajuwa?
Licha ya misukosuko yote hii inayotukabili chini ya uongozi mbovu huu, binafsi ninayo imani kubwa sana juu ya waTanzania; kwa sababu nilishaishi miongoni mwao nyakati zilizokuwa tofauti sana na hizi tulizomo sasa.
Nilishawahi shuhudia waTanzania wakiwa pamoja katika nyakati ngumu; kama zile za vita vya Kagera; na hata ilipotubidi kuwa katika hali ngumu ya kiuchumi umoja wetu haukutetereka; hadi hapo tulipoanza kupata viongozi waliong'ang'aniza tofauti zetu zaidi ya umoja wetu.

Ni kitu gani kilichobadilika? UONGOZI ambao vipaumbele vyao havikuwa kutuweka pamoja zaidi kama taifa; uongozi uliokazia makundi miongoni mwetu.

Kwa hiyo dawa yetu inajulikana ilipo: kuwapata viongozi wanaosimamia maslahi ya waTanzania wote kwa HAKI kwa kila mmoja wetu.

Tukiwapata viongozi hao; haya tunayoyaona ya mifarakanyo ndani yetu yatapotea.
 
Ni KWELI wazinzibari wengi wako na Samia, mie naishi na wapemba huku msasani + waunguja wako hivyo
Ni muhimu sana kuweka tofauti:

Wapo na Samia kwa matendo yake ya uovu, au kuna sababu nyinginezo.

Unaweza kukuta "wengi" wa hao wako upande wake kwa sababu tu wanatokea mahali pamoja.
 
Wacha.
Unaingia kwenye maswala usiyoyajuwa kabisa na huo mfano wako wa wakurya na 'genetics' ya ugomvi.
Kuna mahali popote ulipopata taarifa ya namna hiyo iliyotolewa kisayansi kwa kuchambua 'genetics' za kabila hilo?
Basi nikwambie kwa uhakika kabisa, hakuna kitu kama hicho.

Huko kuamini kwako kuwa waZanzibar wote wanakubaliana na Samia kwa vile ni wazanzibari, ni mwendelezo wa upotofu huo huo.

WaTanganyika wasiokubaliana na Samia kama wewe, wote 'genes' zenu zimeundwa hivyo, sasa mbona hujawasema hao waTanganyika wachache walio upande wake; nao 'genes' zao ni sawa na zile za wazanzibari?

Fikra za namna hii hazitufikishi popote.
Sijafanya generalization! Nimesemà wakurya.....they are very brave..... Brevity can be associated na génetical make up yao!
Wazanzibari ni descendants za waarabu. Most likely wanaweza kuwa na génetical make up ya uarabuni na kujiona wo ni waarabu wamoja...genetic make up yao inatoka arabuni.
Acha wasukuma wanyanwezi waliohani huko toka bar. Lakini wengine mnafanana kwa kiasi kikubwa génetical make up yenu!😁😳😀
 
Unajuwa?
Licha ya misukosuko yote hii inayotukabili chini ya uongozi mbovu huu, binafsi ninayo imani kubwa sana juu ya waTanzania; kwa sababu nilishaishi miongoni mwao nyakati zilizokuwa tofauti sana na hizi tulizomo sasa.
Nilishawahi shuhudia waTanzania wakiwa pamoja katika nyakati ngumu; kama zile za vita vya Kagera; na hata ilipotubidi kuwa katika hali ngumu ya kiuchumi umoja wetu haukutetereka; hadi hapo tulipoanza kupata viongozi waliong'ang'aniza tofauti zetu zaidi ya umoja wetu.

Ni kitu gani kilichobadilika? UONGOZI ambao vipaumbele vyao havikuwa kutuweka pamoja zaidi kama taifa; uongozi uliokazia makundi miongoni mwetu.

Kwa hiyo dawa yetu inajulikana ilipo: kuwapata viongozi wanaosimamia maslahi ya waTanzania wote kwa HAKI kwa kila mmoja wetu.

Tukiwapata viongozi hao; haya tunayoyaona ya mifarakanyo ndani yetu yatapotea.
Dawa kuacha unafki na ubinafsi.
Tumefika hapa sababu ya veggies kupeleka siasa kwenye majeshi yetu na vyombo vya usalama..!!

Sasa hivi wameanza kutugawa kwa imani za dini na utanganyika na uzanzibar..!!

Watanzania tulivyo wabinafsi tuko tayari kutetea dini za wazungu hata km watawala wanafanya vitu vya hovyo. Hapo tunarudi tena kulekule kwenye UNAFKI.
 
Mabeyo yeye ni katiba?
Nguvu ya nchi iko kwa wananchi..!!
Mabeyo alifata katiba ilivyotaka, lakini kama wananchi wenyewe wakigoma kupelekeshwa hakuna yeyote wa kuwazuia..!!
Mabeyo angechukua kiti cha uraisi na kusimamia mchakato wa katiba mpya baada ya Kifo cha Magufuri akiwa raisi wa mpito chini ya usimamizi wa jeshi. Ila alikubaliana na uchafuzi wote huu au alikosa ujasiri wa kutafakali mana intelijensia ndani ya jeshi inaona inang'amua yote haya
 
Back
Top Bottom