Nimeipenda hii kutoka X. Watanganyika tukitafakari, kila mmoja kwa dhamira yake

Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
Duh 😇
 
Rais kapatikana kimiujiza.
Kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya saa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
 
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
Kuhusu wajukuu wetu kuuliza maswali magumu, hilo linawezekana katika kila kizazi. Mara nyingi huuliza kwa nini viongozi na wananchi walifanya maamuzi fulani, kwa nini kulikuwa na migawanyiko, na kama kulikuwa na njia bora zaidi za kujenga umoja na haki. Majibu ya maswali hayo yatategemea jinsi historia itakavyorekodiwa na jinsi jamii itakavyoshughulikia tofauti zake leo.
 
Kwa nini waTanzania hawataki kulielewa hili; hapo ndipo penye siri kubwa.

Tena basi haihitaji milioni 60 wote walielewe. Nchi hii kweli inakosa watu milioni tano tu wanaoweza kubadili kila kitu sasa hivi?
Kwa haya maswali utaweza kumshughulikia mzee wa MSG kweli?
 
this is pure nonsense 🐒
Ccm bhana,wanapoteza pesa kulipa watu ambao hawana hoja zaidi ya kusema 'nonsense' na 'gentleman '.
😂😂😂😂😂😂😂
Piga pesa mkuu wakati ndiyo huu maana uchawa una mwisho wake
 
Kwamba hayo masalia ya watumwa kutoka bara ni waarabu.
 
Ccm bhana,wanapoteza pesa kulipa watu ambao hawana hoja zaidi ya kusema 'nonsense' na 'gentleman '.
😂😂😂😂😂😂😂
Piga pesa mkuu wakati ndiyo huu maana uchawa una mwisho wake
in fact kuendekeza ubaguzi useless kama huo jf ni nonsense kabisa gentleman 🐒
 
Siku huyu mama atamaliza ataondoka, tutabaki na mbegu ya chuki tunayoipanda.
 
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
Mkuu wala siyo wajukuu zetu bali Gen Z wanatuuliza maswali ambayo ni magumu lea watawala kuyajibu. CCM ni mzigo kwa taifa.
 
Sijafanya generalization! Nimesemà wakurya.....they are very brave..... Brevity can be associated na génetical make up yao!
Unachanganya mambo sana, na bado hata huelewi kinachosemwa hapa.
Kwanza hiyo ya wakurya: 'Bravery' na 'Brevity' na mambo tofauti kabisa yasiyohusiana!


Hao hao wakurya, ni uchunguzi gani wa kisayansi uliobainishi hiyo 'Bravery' unayoisema kuwa wanayo inatokana na 'genes' walizo nazo wao?
Mazingira wanamoishi na tamaduni hazina uhusiano wowote na 'genetic makeup' ya jamii yoyote.

Jambo ninalotaka kukunyoosha hapa ni kwamba hujui unachozungumzia hapa.
Acha wasukuma wanyanwezi waliohani huko toka bar. Lakini wengine mnafanana kwa kiasi kikubwa génetical make up yenu!
Sasa kama unawabainisha hawa kuwa tofauti, huoni kuwa unapingana moja ka moja na hoja uliyoweka toka mwanzo?
Na kwa upumbavu wako tu, tayari nimekwisha kuwa mZanzibari!
Watu wa aina yako ndio tatizo kubwa sana ndani ya nchi hii; kwa sababu huna popote unaposimamia, unayumbayumba tu na upepo.
 
Mkuu wala siyo wajukuu zetu bali Gen Z wanatuuliza maswali ambayo ni magumu lea watawala kuyajibu. CCM ni mzigo kwa taifa.
Hawa washenzi waliotufikisha huku, akina Wassira, Asha-Rose; Kabuti Kalamganda, akina Pinda, Kikwete, Mkunda, CamilliusWambura wote hawa na wengine wengi wanaojulikana waziwazi kushiriki katika uovu huu ni lazima tuwatambue waziwazi kwa ushiriki wao na wawajibishwe.

hatuwezi kuwa tunazungumza kijumlajumla tu, ni lazima hawa watu watajwe waziwazi katika historia ya nchi yetu na mchango wao uwekwe wazi.

Bila ya hawa tusingefika huku.
 
Watanganyika walishapoteza uzalendo kabisa na nchi yao, wamebaki vibaraka tu.
 
Waliofanya yote haya miongoni mwetu wanajulikana, kwa nini tusianze angalau kwa kuwatambua kila mmoja wao na mchango wake?
Haitusaidii chochote kuwalalamikia waTanzania wote; hata tukijuwa juzi tu waTanzania wameuliwa kwa maelfu wakipinga haya haya tunayolalamikia.
Kwani hawa waliouliwa siyo waTanzania?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…