Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

Samahani natafuta silicone nitapata mitaa gani hapa k.koo?
Na Bei inaendaje?
Jibu-unahitaji pisi ngapi?
 
Mwingine unamuuliza unaitwa nani ,naye anakuuliza mm hapa au ..

Badala ajibu tu naitwaa Athumaniiiiii
😀ila mimi naona njia nzuri ya kutambuana kwa jina ni una za naitwa fulani ex Athuman naye amalizie naitwa like Amina Asha
 
Kweli kabisaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…