Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
45Una umri gani ndugu? 😃
NdiyoKwenye mazishi ulishiriki?
wewe ulitakiwa kuwa mke na mke wako alitakiwa awe wewe.
Google maswali yanayoulizwa kwenye vikao vya misiba.. hovyo kabisa!Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!