Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Anamalizia na mama anatosha kutuvushaAseme mitano tena
Anamalizia na mama anatosha kutuvushaAseme mitano tena
Huku akibubujikwa kwa machozi ya furaha... Confuse your enemies...Kaseme zile zile unazotuandikiaga humu za samia anatosha 😁
Ahsante sanaPole
Unamaanisha nn mkuu?!!
Kumbe, sawa.Hakikisha wallet Yako imeshiba pesa. Mengine Huwa vibwagizo tu.
Hahahahahaaaa! Sawa, ila hiyo kulia ndiyo mtihani......sikulia kwenye kutahiriwa bila ganzi ndo nitaweza ktk hili kweli?!!!!!Anza kwa kilio kikali huku ukilitaja jina la marehemu as if wewe ndio umeumia sana kuliko wengine.
Baadaya hapo kaa kimyaa ukiwaambia huna cha kusema kwa leo.
Dah🤣🤣🤣🤣🤣Kaseme zile zile unazotuandikiaga humu za samia anatosha 😁
Kawachukue CCM wenzako nenda nao au mwambie nape akupe mbinu za goli la mkono....Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
Hapo zinatakiwa hela za kulipa madeni ya shughuli ya msiba.wewe changia hela acha kuchangia porojo.Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
“Nawasalimu kwa jina la upendo na faraja. Kwa niaba ya familia yangu, napenda kutoa pole za dhati kwa familia nzima kwa msiba huu mzito.”
“Tunaamini kila roho ina safari yake, na Mungu hufanya kila jambo kwa sababu. Tuendelee kuwa na matumaini, upendo, na mshikamano.”
(Hapa unaweza kutaja sifa moja au mbili kama ni kweli unazijua.)“Marehemu alikuwa mtu wa heshima, mwenye upendo kwa familia na jamii. Aligusa maisha ya wengi kwa namna chanya.”
“Ni wakati mgumu, lakini pia ni wakati wa kushikamana. Familia inahitaji upendo wetu na kuwa pamoja kama ndugu.”
“Tuendelee kumuombea marehemu apumzike kwa amani, na tuiombee familia hii iendelee kupata nguvu ya kuhimili kipindi hiki.”
“Namalizia kwa kusema sisi tuko nanyi. Msiba huu ni wa familia yote – na tutashirikiana bega kwa bega hadi mwisho.”
Uzi ufungweUna umri gani ndugu? 😃
bhaaaas! ushamaliza mengine mapambio tu..Hakikisha wallet Yako imeshiba pesa. Mengine Huwa vibwagizo tu.
Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!