Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf shem zile za Mbuzi ndio zenyewe.
Jaribu kula siku moja.
Zilikuwepo Pale Temeke Sokota nje ya Sugar Ray Pub zamani.
Nilifakamia siku moja nje pale ilikua jero tu Pumbu limenona balaa.
Nilishiba na ndizi saafi,
Kuja Kujua ni Mbupu nilitapika balaa.
Piteni pale usiku Nje tu hapo.
 
Zilikuwepo Pale Temeke Sokota nje ya Sugar Ray Pub zamani.
Nilifakamia siku moja nje pale ilikua jero tu Pumbu limenona balaa.
Nilishiba na ndizi saafi,
Kuja Kujua ni Mbupu nilitapika balaa.
Piteni pale usiku Nje tu hapo.

Bro hata kama ulitapika.
Ila pumbu ulizikula. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lamomy
Kwan pumbu zina makosa gan?.

Anyway. Mbona wote tunakula mayai ya kuku.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Dr. mzima huyu. Tena amesema anamalizia kimzinga kidogo cha Konyagi na tayari keshaanza kulewa. Unafikiri atakuwa amekuomba nini? Think! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Š
Acha uchochezii..πŸ˜πŸ€“ sinywagii chochote. Kwenye jukwaa arejee uzii wake upo Kuna mtu alifufua kaburii.

By the way ilikua ni joke🀣
 
Bro hata kama ulitapika.
Ila pumbu ulizikula. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lamomy
Kwan pumbu zina makosa gan?.

Anyway. Mbona wote tunakula mayai ya kuku.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mimi sijui ngozi, mapupu, kongoro, pumbu Huwa sinaga muda nazo Wala sijawai na silagii..

NB. Kongoro nilikula mwaka Jana nilipo vunjika mguu so ulajii wakongoro husaidia uungaji WA mifupa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…