Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Ameniambia eti umekimbia nyumbani hujaonekana leo siku ya tatu toka eid ianze Kaizer hebu thibitisha hapa
Hivi kwani mimi ndo nilikuwa na makosa Nicas Mtei na Kaizer
miss chagga hana kiota kingine zaidi ya cha kwangu
Nilifuata sana ila sikuwa na namna tyre za baiskeli yangu zilipasuka zote nikashindwa kuwahi mazoezi
nicas toa maelekezo bana
Mhhh hapa ni faini au ni hasara sasa
Kiwanja kile kile aise hakina kunguru wengi bana
cc Nicas Mtei na Kaizer
miss chagga kama tulivoongea basi ngoja ntulie zangu
Kumbe!!?!Kwa hiyo unapatikana kigango gani!?au upo parokiani!?
Kaizer mbona maneno yako yanazidi kuwa laini kwa miss chagga kuna nini kinaendelea hapo
cc Nicas Mtei
fomu ya kujiunga na teamrafiki best kwani macho yako yanaona malengelenge ?
Wivu sina my dear miss chagga ila roho inaniuma kumuona Kaizer anazidi kubembeleza hapa
cc Nicas Mtei
Nina parokia sa ivi lol
Afadhali binamu umeonekana bana
Naamini unaendelea na malezi vyema
Usipotee hivyo binamu yangu Zion Daughter
Ameshaacha huyo kijana sijui alipata ndyofu mchana huu
Msamehe bure hana makosa ndyofu ndio zinaongea
cc Kaizer
Nipo binamu.Nalea mwendhio lakini huwa nachungulia tu humu vituko vya kina dotcom na fesibuku
Ati nauliza....kwani umehamia team bazazi?
Hongera kwa kuwalea.
Binamu Mr Rocky ni team rafiki ila kampani zake kina Nicas Mtei Asprin na Kaizer ndo wanamfanya asiaminike
Ooh afadhali....maana hawa team bazazi sio wazuri atiBinamu Mr Rocky ni team rafiki ila kampani zake kina Nicas Mtei Asprin na Kaizer ndo wanamfanya asiaminike
mwallu na Zion Daughter siko kwenye hiyo #teambazazi yao wananilazimisha sana kuwepo ila siipendi kabisa hiyo team
cc Nicas Mtei na Asprin, Kaizer miss chagga nakuwatch full ujue
Aisee nitafurahije ila sipapendi sana hapo kuna chimbo linaitwa 'Cheers' mnyama katulia na wapishi poa kabisa ila radio call not reachable bana kulikoni
Njooni Isaje bana. Delighton parking inajaaga.