Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Ameniambia eti umekimbia nyumbani hujaonekana leo siku ya tatu toka eid ianze Kaizer hebu thibitisha hapa



Hivi kwani mimi ndo nilikuwa na makosa Nicas Mtei na Kaizer


miss chagga hana kiota kingine zaidi ya cha kwangu
Nilifuata sana ila sikuwa na namna tyre za baiskeli yangu zilipasuka zote nikashindwa kuwahi mazoezi

nicas toa maelekezo bana



Mhhh hapa ni faini au ni hasara sasa


Kiwanja kile kile aise hakina kunguru wengi bana
cc Nicas Mtei na Kaizer

Haya sasa. Kutaniko takatifu ni saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Afadhali binamu umeonekana bana
Naamini unaendelea na malezi vyema
Usipotee hivyo binamu yangu Zion Daughter



Ameshaacha huyo kijana sijui alipata ndyofu mchana huu



Msamehe bure hana makosa ndyofu ndio zinaongea
cc Kaizer

Ati nauliza....kwani umehamia team bazazi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei umeona eehh na jamaa ni mwanaume ila anapost vitu kama vile na sijui mods walikuwa wameenda likizo au walikuwa na hang over za sikukuu
cc Paw
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Aisee nitafurahije ila sipapendi sana hapo kuna chimbo linaitwa 'Cheers' mnyama katulia na wapishi poa kabisa ila radio call not reachable bana kulikoni

Hahah hapo tulikuwa jana na Mtambuzi chupuchupu alambwe ngumi na meneja.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom