Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

Hiki kijamaa kijinga sana, Mungu anisaidie natafuta watoto 3 nje ya ndoa leo mwaka wa 7 sijafaanikisha, nimebambikiwa 2 na mmoja ana miezi 3 naishi naye napanga kupima dna kama ni wangu nivae majukumu ila kama sio wangu nimrudishe kwao
 
unafikiri shida ipo wapi kwa manufaa ya wengine?Uelewa wa kutosha,kuridhika na hali ya maisha ndani ya familia,hisia za wivu kuwa utachepuka au sababu za kiimani? Je anaamini na kukubali habari ya uzazi wa mpango?Ama unafikiri shida ni nini,na je katika mawazo yake unamwelewaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…