Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

Za jioni wandugu

Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa

In short nimechoka hii tabia ya uzinzi uzinzi ninaofanya yaani uchafu mwingi nimekuwa naufanya toka October last year hadi nimeanza kuwa addicted kidogo kama mlevi of course wote ni watu wazima hapa najua mmenielewa vyema basi leo hii wana Jf ninekuja kwenu kutangaza kuwa kwa siku 1000 toka leo simwagi shahawa zangu tena kwa njia yeyote iwe sex au punyere

Ntarudi kufukua huu uzi 24/10/2027 mark my words

Usiku mwemeni nyote!!

Eeh Mwenyezi Mungu nitangulie 🙏
Hili bandiko umeandika ukiwa una muda gani tangu ufanye huo uzinzi

Kama umetoka kufanya uzinz, ndo ukaandika hili bandiko, jitafakari
CCM NI WAPUMBAVU SANA
Hahaha CCM tena?
 
Za jioni wandugu

Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa

In short nimechoka hii tabia ya uzinzi uzinzi ninaofanya yaani uchafu mwingi nimekuwa naufanya toka October last year hadi nimeanza kuwa addicted kidogo kama mlevi of course wote ni watu wazima hapa najua mmenielewa vyema basi leo hii wana Jf ninekuja kwenu kutangaza kuwa kwa siku 1000 toka leo simwagi shahawa zangu tena kwa njia yeyote iwe sex au punyere

Ntarudi kufukua huu uzi 24/10/2027 mark my words

Usiku mwemeni nyote!!

Eeh Mwenyezi Mungu nitangulie 🙏
Kama haupandi mwendo Kasi sawa!
 
Unaumwa wewe usije ukambaka dada yako au mama yako.
Eat that bubu man acha ujinga
 
Ila uzinzi unataka kuuacha vipi wakati hujawah hata kula demu we dogo
Haha gruuuu acha kuongea ujinga mkuuu
Screenshot_20250127-225344.png
 
Attachments

  • Screenshot_20250127-225344.png
    Screenshot_20250127-225344.png
    121.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom